Natafuta kijana wa shamba, mshahara laki

Shamba boy huelewi mkuu
Kwa kiswahili ni shughuli za shamba
KWahiyo huwezi kupambana nini anatakiwa kufanya? Sisi tunavijana wapo bushi ukiweka bayana inakuwa rahisi kuongea na muhusika.

Mfano;

Nilifikiri utasema duties ni Kama:
  • Nina heka mbili ambazo zinatakiwa zilimwe na kusimimawiwa Hadi mazao yavunwe.
  • Nina ng'ombe wa maziwa na mbuzi wa kuchunga au kukatia majani Kila siku.
  • Nina migomba ambayo inatakiwa ipaliliwe Kila siku.
  • Nina uza maziwa, hivyo shamba boy atakamua Kila siku na kuandaa kwa ajili ya kwenda kuuza.

Hivyo ni ngumi mkuu kuweka bayana? Au umelenga nini kusema shamba boy
 
Nimekuelewa ebu niedit uzi mkuu,
Chap afu utatoa hizo code
 
Back
Top Bottom