Weka majina yako kamili na namba za simj hapa
Heading yake inasemaje or kama una link wekaUnabisha sio kazi hatari kwa sababu unao wajua au kuwa sikia ni ma informers ! wale wengine hutawajua na kazi zao hutazijua labda ujue matokeo yake!
Kazi ngumu na hatari kiasi kwamba serikali ikikutuma kazi taifa jirani siku ukikamatwa ina kukana!
Rejea speech ya kweli ya Dictator Amin akiwa na mawaziri wake,sikia anacho kisema kuhusu spy!
unaogopa màdongo ya wanaJF kusema wewe ndio msaka ugali!!!🤭🤭🤭Wanajamvi salama ndugu zangu, mimi nina shida moja naomba kujua utaratibu wa kujiunga na usalama wa taifa kwa yeyote anaejua kuna mtu anapenda sana kuwa usalama lakini hajui ni jinsi gani ya kujiunga ila tayari ni mtumishi wa serikali ni mwalimu na ana miaka 35.
Kwa yeyote anayejua tafadhali msaada tutani, asanteni.
Nipe connection chief 😅😅Hakuna utaratibu wa kujiunga ila unaugwa kama wao wataona unawafaa
Be Smart,Humble,Wise,Watakuona. Wapo kila sehemu ulipo. Kama ni Potential watakufuata..
Nenda ukajiunge Green Guard ukiwafaa utaingia huko UTHabari wana JF Nilikuwepo Napenda mnijuze kwa mwenye uelewa wa Procedures za kufuata ili Kujiunga na "USALAMA WA TAIFA" Nataka nijiunge Nipige kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kazi huwa haiombwi wala kuuliziwa. Kapitie kwanza JKT tukujue vizuri. Zile ajira 800 za JKT kuna wengine wataenda upande huo. Vinginevyo ni connection tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sekondari ulizosoma na vyuoni Mara nyingi huwepo maafisa wa ku recruit wa Siri Kama kote huko hukuonekana wewe endelea tu na maisha yako mengineHabari wana JF Nilikuwepo Napenda mnijuze kwa mwenye uelewa wa Procedures za kufuata ili Kujiunga na "USALAMA WA TAIFA" Nataka nijiunge Nipige kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app