X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,719
- 14,847
vijana wanapenda kazi za hatari, kazi ambazo ukiingia huwezi kutoka mpaka uingie kaburini, kazi ambayo muda mwingine inaweza ikakufanya utengane na familia yako...ila vijana ndio wanaona ufahari...dahSwali zuri