OK!mkuuNzuri ila ihariri vizuri tena Azaboy mwenzangu. Nimefurahi kujua na wewe ulisoma Shamba la ONE Taifa Kubwa!!!
Ni kweli hujaona column nyingine?!!Habar zenu wadau?
Nimekuwa kwa kipindi cha miaka miwili sasa nikitafakar,kazi nzito,za kutisha zinazofanywa Na serikali hii ya awamu ya tano,ambazo rais wake yeye anaiita Vita ya kiuchumi jinsi ilivyoweza kufkia hapo!Na ugumu wake!
Nadhani hapo,juu ntakuwa sjaeleweka,ili nikili mapema kuwa ninayokwenda kuyaandika Hapa ni maoni yangu binafsi Na sio maoni ya MTU mwingine pia nikili kuzitambua Sheria zinazo elekeza Na kukataza kulisema jeshi letu tukufu ka Usalama wa taifa!
Zaid niseme skupenda ujumbe Wangu upitie kweny colum hii ya siasa ila ni kwa ssbabu sjaona colum nyingine ambayo naweza pitisha maoni yangu! Kwa mantiki hiyo naomba usipuuzwe kisa umepitia hapa, Na idara hii sio idara ya siasa Na sjui kama wana idara ya politics analysis?
Kwanza naomba watanzania wenzangu, tukubaliane kuwa nchi yetu imeweza kuibiwa mno rasrimali zetu,kupitia mikononi mwa wanasiasa wetu ambao wengine pia walikuwa wana idara hii nyeti!
Pili naomba tukubali kuwa idara yetu APO Kati haikuweza kutimiza matakwa yake,kimsing kwa ssbabu ya mfumo mbovu wa upatikanaji wa watumishi wa idara hii nyeti.(ntaeleza).
Kama ifatavyo,mfumo wa ajila za Usalama wa taifa nchi umekuwa ni mfumo ambao ni wa ovyo sana,kwanza ajra zake hazitangazwi,pili umekuwa ni mfumo wa Baba kumwachia maana kwa maana ya kuwa kama Baba au mama walikuwa Usalama wa taifa bas mtt yy atapata fursa ya kuwa Usalama kwa ssbabu ya Baba Na mama walikuwa Usalama,msingi wa mfumo huu ulitokana Na kuwa heti kwa kuwa Baba ni Usalama Na mtumishi mwema pengine hata mwanae atakuwa mwema,matokeo yake kumbe Baba mbuzi amezaa mtt mbwa,mwiz,nae kaingizwa kweny system sasa analipiga taifa balaa!
Tatu,watu ambao wamekuw wakichukuliwa elimu,zao Na utashi wao huwa bado ni Mdgo sana kwa kung'amua mambo!
Ili lazma tulielewe,nakumbuka miaka mingi iliyopota nikiwa secondary Azania alikuja bwana mmoja akachukua taharifa za wanafunzi mwenzangu wote,kwa lengo la kuwafnyia veting wakiwa masomoni Na badae kuwapa ajira kweny idara hii,ili lilifanyika Na wengi wa classmate Wangu sasa ni watumishi wakubwa wa idara hile,ila kwa jinsi tulivokuwa wadogo maana yake ni kuwa walikulia kweny sisytem,nilishangaa sanaaa hata Yule ambae Mimi nilikuwa najua kuwa huyu ni c critical mzuri baada ya kukutana nae chuo kikuu amekuwa MTU ambaye hawez kufanya hata polics analysis ndgo sanaaa,ili hali kipindi kile alikuwa MTU Safi kbsa!(nilipombana akaniambia maadili ha kazi yake hayamruhusu kufanya politics analysis ambayo agenda kubwa ili ni how our politician are the source of corruption in our society during the election era?
Kwa kufupi ni kuwa,idara yetu nyeti ilikuwa ikiwabumba wanaidara wawe waoga sana!
Nini kifanyike kulinda maslai mapana ya nchi yetu?
Kwanza; mfumo wa ajira ubadirike,ile ni kazi sawa Na kijajususi,kuzifanya zaitaji wito,zitangazwe!
Pili;usamala wa taifa wachukue mpka vijana wa kutoka chuo kikuu,sio wanachukua viwango vidgo vya elimu,wachukue pia vijana wenye misimamo Na elimu zao ili litasaidia kuwa Na idara nyeti sanaaa Na makini hata kusaini mkataba wwte wa rasrimali za nchi waweze elewa maana yawezekana mikataba tuliyosaini walikuwepo ila hawakuelewa wakapigws changa la macho Na wasiasa!
Tatu; sheria zinazo kataza Usalama wa taifa kuto kusemwa zinakosesha watu Uhuru wa kushauri pengine ibadlishwe!
Nne; usalama wote wafundishwe maana ya public interest! Najua Hapa changa moto pia iko kwenye katiba ila basi,wao wawezeshwe kidgo kujua ni nini maana ya what is Tanzania public interest?
Nioneshe nilipashwa ukiweka colum gani Mkuu?Ni kweli hujaona column nyingine?!!
Motisha gani unasemea?hakuna jeshi ka watu wanao ishi nyumba nzuri kama wao je walijua ili? Pita vikitoria pale!Yote ndivyo inavyofanyika, watu wa usalama ni wasomi wazuri, ila walikuwa hawana motisha katika utendaji wao wa kazi wa kila siku, na haipaswi wote wawe level moja kulingana na majukumu na sehemu wanapopelekwa kufanya kazi!!! Kwa masuala ya undugu sina hakika nalo
Nimekusoma Mkuu asante kwa ushauri wakobl Mkuu!Mkuu kila kitu kipo sahihi hata ambaye sina elimu kubwa nimekuelewa.
Kwa nchi ambayo ilipitia kutaka kupinduliwa zaidi ya mara moja siyo jambo la kushtusha mfumo wa kuwapata secret service ukawa wa kurithishana kati ya ndugu au vetting ufanyiwe na rafiki.
Uduni wa teknolojia na maarifa unazidi kufanya tushindwe kufuatilia na kujua nani msafi aingie humu au asiingie.
Over time hata sisi hizi ajira zitatangazwa kama usa na nchi zingine zinavyofanya.
Ila sehemu zinazotakiwa kua na 'H', 'R' na ukachanganya mambo ungezifanyia marekebisho.
Yote ndivyo inavyofanyika, watu wa usalama ni wasomi wazuri, ila walikuwa hawana motisha katika utendaji wao wa kazi wa kila siku, na haipaswi wote wawe level moja kulingana na majukumu na sehemu wanapopelekwa kufanya kazi!!! Kwa masuala ya undugu sina hakika nalo
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Watumishi wa usalama huwa wanaandaliwa na kuchunguzwa kwa muda mrefu sana, wanapekuliwa muda mrefu tokea hata akiwa sec. hadi ngazi ya chuo, wanakuchukunguza hadi ukoo wako, nijuavyo mimi sio kwamba wanaomba ila baada ya kuchunguzwa kwa kina na kujiridhisha ndio hapo unaitwa kwenda kwenye chuo chao. kwahiyo huyo mwenye nia mwambie tu asahau. sio mchakato wa muda mfupi
Hiyo ya LUKU moja kutumiwa na watu 50 si angeriport Tanesco au Polis tuMotisha gani unasemea?hakuna jeshi ka watu wanao ishi nyumba nzuri kama wao je walijua ili? Pita vikitoria pale!
Malupu lupu,hakuna idara yenye malupu lupa kama wao,rejea utendaji wao!
Kama wasomi wapo ilikuaje tunasaini mikataba ya ovyo kbsa dhdidi ya rasirimali zetu?hawakushirikishwa?
Tusiwatetee tuwaseme,Na kuwakosoa ili wajirekebishe,
Huwez kana undulization,Usalama wa taifa wa nchi, offcorse sio wao tu hata majeshi mengine ila wao wanaongoza.
Ila kurisishwa kazi sio kibaya ila wewe Usalama wa taifa enzi za nyerere wengi wao walionekana vichaa Leo hii Nani atakubar!unakwenda feri dar Salama hakuna Usalama wa taifa hata mmoja anae vua samaki? Unapanda daradara kumi,hakuna kondakita hata mmoja pale makumbusho dar stend Usalama?
Unakwenda shule za msingi kumi hakuna Usalama wa taifa hata mmoja Mwalimu?
Usalama wa taifa wa wilaya vilaza watupu,unampelekea taharifa nakumbuka rafiki yangu alipeleka taharifa wilayani kwa afsa usalma mmoja kumweleza kuwa mtaani kuna nyumba zaid ya 50 zinatumia luku moja Na luku yenyewe imechakachuliwa akaishia kuambiwa hizo sio kazi zake,wacha waibe tu!ila badae Yule kijana akashangaa kuniona Yule Mzee wa system kila mwezi unakuja kuichukua pesa kutoka nyumba zote 50kila nyumba 16700!enz hizo nyingine Bob!
Mfumo ni mbovu uboreshwe,Usalama wa taifa ni ujasusi lazma iwe kaz ya wito!
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Atakuja ajute, yani aende tu kwenye ofisi zaoHabarini za wakati huu wanajamvi.
Kuna suala hapa la rafiki yangu ambaye yeye ni muajiriwa wa serikalini, lakini kuna suala ambalo linanishangaza sana kila ninapozungumza naye, wakati mwingi yeye anakua anadai kwamba pamoja na hayo yote aliyonayo ila moyo wake unapenda sana kulitumikia taifa katika idara ya usalama. na kwamba ndio kazi ya kwanza anayoipenda sana kuliko zote maishani mwake, na anaipenda kiasi cha kutaka kuwafuata hadi ofisi zao zilipo kwaajili ya kuweza kuzungumza nao kinaga ubaga. na yeye ni muhandisi katika serikalini.
nimeshindwa kumshauri kwakua sielewi kwa kuanzia, na ndio maana nikalileta hili suala mbele yenu.