Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Status
Not open for further replies.
Kwenye hizo ofisi nani anafaa kuulizwa hasa anipe deteils nzuri??yani maafisa waandamizi au yeyote tu nutakae mkuta pale au niende kama kuomba nionane na nani kwenye idara ili nipate habari vzr jaman samahanini kwa kuwasumbua sana naomba mnisaidie nashida kweli ya kufanikisha hii ili tufanikishe haki ya msingi ya mdogo wangu ambayo hata katiba inamruhusu kufanya hii kazi anayoipenda asanten naomba nilekezwee

Halafu unajua we Tumbu inatuchezea akiri zetu; kwani we ukisema ndiyo mtu wa usalama wa taifa itakuwaje mpaka unajaribu kupoteza maboya; maana naona maswali yako yana majibu mojakwamoja na hakuna mtu anayemtafutia mtu kazi hii ni personal. Sasa nikuulize Tumbu wakati wa kujiunga na TIS ulifanyaje? Na wewe upo section gani? na je mtu anaweza kujiunga na TIS bila kupitia jeshi? Samahani huwa nina tabia ya kukurupuka!!
 
Asnte sana brother kwa msaada wako wa ushauri mzuri Mungu akujalie

Halafu naomba kukuuliza hivi; unaweza kumuona DSO kwa ajili ya mchakato wa hii kazi unayofanya? What is the age limit? Vyuo vya mafunzo viko sehemu gani hapa TZ? Je kuna vyeo kama jeshini? Pia bwana TIS nakuuliza je inawezekana mkawa sehemu moja ya kazi na msijuane? Je huwa mnatumia lugha gani katika mawasiliano? Pia kuna swali huwa linanitatiza: wale TIS wanaomlinda waziri mkuu, makamu wa rais au Rais huwa wanavaa earphone sasa huwa wanawasiliana namna gani mbona huwa haongei na kama anapokea maelekezo huyo anayempa maelekezo huwa sehemu gani?
 
Nji hii hairuhusiwi kutaja neno USALAMA WA TAIFA utachezea ban hadi ushangae.
 
Jaman mimi naomba niulize hivi nikienda ofsi za usalama wa taifa zozote nikauliza namna ya kupata kazi zao wanaweza kunidhuru au kunifanyia kitu mbaya nataka niende nikamuulizie mdogo wangu anapenda sana hiyo kazi jaman sasa hata pa kuanzia hana

njo 2kucheke unapajua ofcn kwetu
 
mwambie aje jumatatu aanze kazi,aje na recent pasport size mbili black and white:flame:
 
TISS nawakubali sana wapo makini kuliko hata Mume kwa mke.....tiss ndio nguvu ya amani ktk taifa letu.
 
Jaman mimi naomba niulize hivi nikienda ofsi za usalama wa taifa zozote nikauliza namna ya kupata kazi zao wanaweza kunidhuru au kunifanyia kitu mbaya nataka niende nikamuulizie mdogo wangu anapenda sana hiyo kazi jaman sasa hata pa kuanzia hana

hivi aliyetengeneza viloba hatari sana hebu ona sasa
 
Jaman mimi naomba niulize hivi nikienda ofsi za usalama wa taifa zozote nikauliza namna ya kupata kazi zao wanaweza kunidhuru au kunifanyia kitu mbaya nataka niende nikamuulizie mdogo wangu anapenda sana hiyo kazi jaman sasa hata pa kuanzia hana
hawawezi nenda kaulize tu
 
mdogo wangu anaogopa sana mkuu yani sana tena ndo usimwambie kbsaaa habari za kwenda huko ofsini kwao yani anatetemeka sana aisee ila kila saa ananiambia broo nisadie unipe clue ya kuweza kujiunga na kazi hiyoo jaman nishasubiria sana shule nikakosa moka sasa anaingia form six sasa hawajawahi kwenda shule yeyote aliyosomea hilo hata mimi nathibitisha kua tangu nianze shule hawa jamaa sijawahi kuona wanakuja kutafuta watu shuleni kama watu wasemavyoo sasa ndo natamani niende ofisini kwao wanipe procedure za kufata sasa naogopa na mimi nisijeshindwa kurudi tena nyumbani akwa historia kua Tumbu alipotelea UWT rabda maana nasikia hiyo ya jkt haiaminiki unaweza kwenda hulo na wasije kbsaa kufata watu huko mkuuu

Sasa huyo muoga na kutetemeka ndio unataka akawa Usalama wa Taifa kweli? Are you serious? Mwambie afanye mambo mengine tu mkuu.
 
hawafuatwi bali wanakufuata wenyewe baada ya kukuchunguza muda mrefu pengine tangu primary enzi za nyerere maana wakuu wa shule wote na taasisi mbalimbali walikuwa informers. Hivyo walikuwa na jukumu la ku identify possible candidates baada ya wao kuwafanyia vetting za awali. Hao ndiyo walikuwa wasalama kweli. Leo hii unaingia huko kwa vimemo na wajukuu wa wasalama waliopita madotcom ndiyo maana kwa kuwa hawana proper vetting basi siri nje nje kama dagaa la kigoma.

siri nje nje kama uuchi wa mbuzi
 
In short kwa sasa mfumo wa ajira tanzania ili upate ajira idara yoyote ile ni lazima upatee mtu wa kukushika mkono......ajira za siku hizi zinaenda kwa kujuanaa
 
nilishawahi muuliza akasema ana intrisic motivation(kupenda toka moyoni)kufanya kazi ya epstionage kaka inshort anapenda tu kwenye idara hiyo kama watu wanavyopenda kuwa walimu.wanajeshi.marubani na nk mkuu

Ndio shida ya kuangalia movie na kuziamini!
 
mdogo wangu anaogopa sana mkuu yani sana tena ndo usimwambie kbsaaa habari za kwenda huko ofsini kwao yani anatetemeka sana aisee ila kila saa ananiambia broo nisadie unipe clue ya kuweza kujiunga na kazi hiyoo jaman nishasubiria sana shule nikakosa moka sasa anaingia form six sasa hawajawahi kwenda shule yeyote aliyosomea hilo hata mimi nathibitisha kua tangu nianze shule hawa jamaa sijawahi kuona wanakuja kutafuta watu shuleni kama watu wasemavyoo sasa ndo natamani niende ofisini kwao wanipe procedure za kufata sasa naogopa na mimi nisijeshindwa kurudi tena nyumbani akwa historia kua Tumbu alipotelea UWT rabda maana nasikia hiyo ya jkt haiaminiki unaweza kwenda hulo na wasije kbsaa kufata watu huko mkuuu

Huyo ndugu yako na wewe wote mnakuwa kama wajinga kama wewe mtu mzima kwenda kwenye ofisi ya mtu kuulizia kazi kunakushinda ni kuwa haujiamini vivyo hivyo kwa mdogo wako.... Kazi ya UWT sio kama ngozi ya mwili ambayo kila mtu anayo ile ni kazi ngumu sana inayohitaji kujitoa kwa moyo wote kutokana na changamoto mbalimbali unazoweza kukumbana nazo hasa kama hili la kwenda tu ofisin mdogowe na wewe wote hamuwezi basi kifupi ni kuwa hata mkipewa hiyo kazi si wewe au mdogo wako atakayeiweza kifupi.

Mie ninashauri mdogo wako akajaribu kutafuta kazi kwenye hizi kampuni mbalimbali za ulinzi kama vile KK Security, ultimate security, chui security etc. Maana nao kazi yao kubwa ni ulinzi na usalama pia ila sana sana wao wamebase kwa watu binafsi so hayo makampuni kazi zake hazitofauti sana na UWT na hizo zitamtimizia lengo lake la kizalendo la kuwalinda Watanzania wenzie
 
Asante kwa ushauri wako mkuu nitamwambia atafute hiyo kazi ya KK SECURITY usijali
 
Wanajamvi salama ndugu zangu, mimi nina shida moja naomba kujua utaratibu wa kujiunga na usalama wa taifa kwa yeyote anaejua kuna mtu anapenda sana kuwa usalama lakini hajui ni jinsi gani ya kujiunga ila tayari ni mtumishi wa serikali ni mwalimu na ana miaka 35.

Kwa yeyote anayejua tafadhali msaada tutani, asanteni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom