Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Status
Not open for further replies.
hiyo nilikuwepo naisikia ila unamaanisha kama nilikuwepo na tabia za ajabu ajabu kama kugoma adhabu au kuchochea vitu vitoleta athari kwa shule???
Sekondari ulizosoma na vyuoni Mara nyingi huwepo maafisa wa ku recruit wa Siri Kama kote huko hukuonekana wewe endelea tu na maisha yako mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia uvccm then Green Guard.. Ila hakikisha unaondoa ule ubongo wa kuhoji
 
Aah basi sawa Pia nasikia wanafuatilia mpaka Family background pia kuna vitu gani wakifuatilia unaweza usipate nafasi kujiunga???

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo wa akili Kama ni mdogo hawakutaki kule Ni intelligence office wanahitaji certified intelligent people sio mazobe zobe yaliyopigika kimaisha yanayotafuta pa kutokea kimaisha
 
Toka nikiw mdogo nilikuwa navutiwa sana na movies za kipererezi mfano CENTRAL INTELLIGENCE AGENCY (CIA) Ko napenda jinsi wanavyofanya kazi zao kwa usiri sana mpaka nishajijengea mazoea yakutotoa hovyo hovyo nambo yanonisumbua mpaka waje wagundue wao ndo ntawaambia sikutaka kusumbua mtu kwa vitu vinonihusu mwenyewe kwanza ni matumizi mabaya ya ubongo wako kutokuchanganua matatizo yako nihivyo tu.
kwanini...unaitaka kazi hiyo na si kazi nyingene...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka nikiw mdogo nilikuwa navutiwa sana na movies za kipererezi mfano CENTRAL INTELLIGENCE AGENCY (CIA) Ko napenda jinsi wanavyofanya kazi zao kwa usiri sana mpaka nishajijengea mazoea yakutotoa hovyo hovyo nambo yanonisumbua mpaka waje wagundue wao ndo ntawaambia sikutaka kusumbua mtu kwa vitu vinonihusu mwenyewe kwanza ni matumizi mabaya ya ubongo wako kutokuchanganua matatizo yako nihivyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
fanya kazi...kwa juhudi...endelea kuongeza elimu...epuka makundi ya ajabu ajabu....kwa kuanzia tafuta nafasi za JKT...njia yako itaanzia hapo
 
fanya kazi...kwa juhudi...endelea kuongeza elimu...epuka makundi ya ajabu ajabu....kwa kuanzia tafuta nafasi za JKT...njia yako itaanzia hapo
Sawa Kaka Ntajitahidi kwa hilo Na target yangu nataka zitakapo toka nafasi za JKT mwaka huu 2020 chap pasi nakuchelewa nitume maombi nisubiri miujiza Pia sitosita kumtanguliza MUNGU kwa jambo kama hili Nashukuru kwa Mchango wako umenipa Mwanga Ahsante sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JKT sio kigezo pekee issue Ni kuwa mtu mzuri Kila ulipo penye wengi iwe primary school,sekondari ,chuo ,kanisani,msikitini ,mtaani ,kijijni ,kwenye chama chochote hata Cha kufa na kuzikana inabidi kuwa vizuri sababu hujui who is who

Haiangaliwi JKT tu!!!!! Ikifika kwenye background check!!!
 
Toka nikiw mdogo nilikuwa navutiwa sana na movies za kipererezi mfano CENTRAL INTELLIGENCE AGENCY (CIA) Ko napenda jinsi wanavyofanya kazi zao kwa usiri sana mpaka nishajijengea mazoea yakutotoa hovyo hovyo nambo yanonisumbua mpaka waje wagundue wao ndo ntawaambia sikutaka kusumbua mtu kwa vitu vinonihusu mwenyewe kwanza ni matumizi mabaya ya ubongo wako kutokuchanganua matatizo yako nihivyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Movie na uhalisia ni vitu tofauti waweza kungalia movie ya ki komandoo ukatamani kuwa komandoo Wakati wewe Ni mtoto wa mama hata kuosha vyombo ukila tu nyumbani huwezi kuosha vyombo vyako anaosha house girl!!! Huo ukomandoo utauweza wapi? Hata kudeki nyumbani tu hu deki .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom