Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Status
Not open for further replies.
Sii kuomba omba kazi Bro ndio maana nikataka kujuzwa Procedures zakufuata lakini kinacho shangaza watu baada ya kunielewesha wanaanza kuponda na kukatisha Tamaa tena Kitu ambacho kilikuwa tofauti na matarajio yangu. Afu pia hata wewe mwenyewe najua hufahamu,haya yote kuhusu nichouliza kama unachokijua kimeishia hapo basi,na sio unaanza kutia maneno yasiyo na msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ni mapambano, kama maneno laini laini tu ya watu wa humu JF tena hata usiowajua yanakukatisha tamaa basi jua hio kazi huiwezi sababu you aren't self motivated.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu kuna rafiki yangu alikonectiwa aende huko sasa akaitwa kwenye interview hayo maswali aliyoulizwa mwee.

1. Nani kakwambia hapa kuna kazi?
2. Kuna sehemu gani umeona tumetangaza.
3. Sawa umekuja omba kazi ehee kazi gani hapa ipo
4. Sasa kijana unajua majukumu ya hii kazi hebu tutajie

Mkuu ww tulia tuu huwezi pata hiyo kazi ni za kurithi hizo au itokee tuu watangaze kazi nyengine unashtukia mkiomba wanajichujia tu watu unashtukizia ushakuwa usalama
daah maswali yanakutoa kwenye reli kabisa.
Habarini za wakati huu wanajamvi.
Kuna suala hapa la rafiki yangu ambaye yeye ni muajiriwa wa serikalini, lakini kuna suala ambalo linanishangaza sana kila ninapozungumza naye, wakati mwingi yeye anakua anadai kwamba pamoja na hayo yote aliyonayo ila moyo wake unapenda sana kulitumikia taifa katika idara ya usalama. na kwamba ndio kazi ya kwanza anayoipenda sana kuliko zote maishani mwake, na anaipenda kiasi cha kutaka kuwafuata hadi ofisi zao zilipo kwaajili ya kuweza kuzungumza nao kinaga ubaga. na yeye ni muhandisi katika serikalini.

nimeshindwa kumshauri kwakua sielewi kwa kuanzia, na ndio maana nikalileta hili suala mbele yenu.
afu akishapata kazi aje akwambie tena kuwa nimepata, mkatamgaze na mtaani kwenu pia,mtaweza kazi kweli nyinyi ? mtu mzima 35 age huwezi ku manipulate ,samaki mkunje angali mbichi! mi namshauri tu aendelee na anachofanya kazi haiwezi.
Ujifunze na kuandika vizuri basi boss,sidhani kama TISS watataka mtu wa kuanza kumfundisha namna ya kuandika mwandiko kwa ufasaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
aisee nmecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kicheko kimeisha???
daah maswali yanakutoa kwenye reli kabisa.afu akishapata kazi aje akwambie tena kuwa nimepata, mkatamgaze na mtaani kwenu pia,mtaweza kazi kweli nyinyi ? mtu mzima 35 age huwezi ku manipulate ,samaki mkunje angali mbichi! mi namshauri tu aendelee na anachofanya kazi haiwezi.aisee nmecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigezo cha kwanza uwe umetumikia ccm kwa kipindi kisicho pungua miaka 10
 
Kama hujawa spotted tangu secondary na Vyuoni huko achana na ayo Mawazo Wewe fanya kazi kwa bidii tu wakikuona siku watakuchukua. Hio idara sijawahi hata kuona Wakitangaza posts sasa sijui hata mnatamani nini kwenda sehemu za uficho ficho kiasi icho? Lakini pia wewe ni Mwanausalama wa Taifa lako na unawajibika kulinda Taifa lako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom