Jacksonzeno
Member
- Feb 17, 2012
- 27
- 23
Life begins when you hold confidence
Mkuu hebu acha ku-overate mambo,kikubwa cha kutisha nini kwenye hio kazi hadi useme hivyo!?Nacho kijua mimi sifa namba moja ya mtu asie staili kua usalama wa Taifa ni anae omba kua usalama wa Taifa.
Kuna mtu anajuta hii kitu!
"Bora ukapigane vita ila sio hii kazi"
Anza kua mwanausalama wa familia yakoWanajamvi salama ndugu zangu, mimi nina shida moja naomba kujua utaratibu wa kujiunga na usalama wa taifa kwa yeyote anaejua kuna mtu anapenda sana kuwa usalama lakini hajui ni jinsi gani ya kujiunga ila tayari ni mtumishi wa serikali ni mwalimu na ana miaka 35.
Kwa yeyote anayejua tafadhali msaada tutani, asanteni.
Ninachojua ukiwa mwanausalama kwenye jamii yako unakua usalama wa taifa mfano wote wanaomiliki security companies ni watu wa usalama wa taifaWanajamvi salama ndugu zangu, mimi nina shida moja naomba kujua utaratibu wa kujiunga na usalama wa taifa kwa yeyote anaejua kuna mtu anapenda sana kuwa usalama lakini hajui ni jinsi gani ya kujiunga ila tayari ni mtumishi wa serikali ni mwalimu na ana miaka 35.
Kwa yeyote anayejua tafadhali msaada tutani, asanteni.
Awali ya yote napenda kukupongeza kwakutoa wazo lako.pili usikatishwe azma yako kwani watu wengi kwakua hawajui ukweli wamekuwa wepesi wakujibu.ningependa kusema kuwa kama hujui kitu nyamaza kwani kukaa kimya nalo nijibu.tatu ukiwa raia watanzania ambae huna taarifa mbaya iwe kwajamii au mahakamani basi unasifa tosha za kuomba kazi unayoitaka.sewa kwahapa tanzania itachukua mda mrefu kidogo kufanikisha hiyo kazi ila kama una haraka ingia kwenye tovoti za usa au rusia kwani hawa mabwana kila kukicha wanaajili ila kwanchi kama Australia waweza pewa na uraia kabisa chamsingi majibu yote yahaya ingia kwenye mtandao yote utayaona hata fomu ya tiss kwahapa tanzania utaipataWanajamvi salama ndugu zangu, mimi nina shida moja naomba kujua utaratibu wa kujiunga na usalama wa taifa kwa yeyote anaejua kuna mtu anapenda sana kuwa usalama lakini hajui ni jinsi gani ya kujiunga ila tayari ni mtumishi wa serikali ni mwalimu na ana miaka 35.
Kwa yeyote anayejua tafadhali msaada tutani, asanteni.
Kila raia wa tz n mlinzi wa usalama wa nchi mahali ulipo lisidie taifa kwa kuripot uhalifu,uhamiaj haramu,ufisad nk na mambo unayohisi sio salama. Anza wewe huko hukoWanajamvi salama ndugu zangu, mimi nina shida moja naomba kujua utaratibu wa kujiunga na usalama wa taifa kwa yeyote anaejua kuna mtu anapenda sana kuwa usalama lakini hajui ni jinsi gani ya kujiunga ila tayari ni mtumishi wa serikali ni mwalimu na ana miaka 35.
Kwa yeyote anayejua tafadhali msaada tutani, asanteni.
Kwani kuna ulazima kwa watanzania wote tukafanya kazi za ushushushu? Mbona kuna shughuli nyingi sana tu zinaweza kukuingizia kipato cha halali? Komaa sana mkuu
Unabisha sio kazi hatari kwa sababu unao wajua au kuwa sikia ni ma informers ! wale wengine hutawajua na kazi zao hutazijua labda ujue matokeo yake!Mkuu hebu acha ku-overate mambo,kikubwa cha kutisha nini kwenye hio kazi hadi useme hivyo!?
Niprecess ndefu saaanaa unajaza form kama ukubwa wacounter book maelezo mengiii saaanaaWanajamvi salama ndugu zangu, mimi nina shida moja naomba kujua utaratibu wa kujiunga na usalama wa taifa kwa yeyote anaejua kuna mtu anapenda sana kuwa usalama lakini hajui ni jinsi gani ya kujiunga ila tayari ni mtumishi wa serikali ni mwalimu na ana miaka 35.
Kwa yeyote anayejua tafadhali msaada tutani, asanteni.
Duh! Nimekuelewa mkuuUnabisha sio kazi hatari kwa sababu unao wajua au kuwa sikia ni ma informers ! wale wengine hutawajua na kazi zao hutazijua labda ujue matokeo yake!
Kazi ngumu na hatari kiasi kwamba serikali ikikutuma kazi taifa jirani siku ukikamatwa ina kukana!
Rejea speech ya kweli ya Dictator Amin akiwa na mawaziri wake,sikia anacho kisema kuhusu spy!
Mkuu ile sio kazi kabisa na mtu akiita ajira ana kosea sana.Duh! Nimekuelewa mkuu