Watumishi wa usalama huwa wanaandaliwa na kuchunguzwa kwa muda mrefu sana, wanapekuliwa muda mrefu tokea hata akiwa sec. hadi ngazi ya chuo, wanakuchukunguza hadi ukoo wako, nijuavyo mimi sio kwamba wanaomba ila baada ya kuchunguzwa kwa kina na kujiridhisha ndio hapo unaitwa kwenda kwenye chuo chao. kwahiyo huyo mwenye nia mwambie tu asahau. sio mchakato wa muda mfupi