Ndugu njia nyepesi ya kufikisha ujumbe wako ni kwa njia ya barua. Maana hata kama mtu hataki kukusikiliza lakini barua ataisoma hadi mwisho. Weka CV zako zote, Anuani ikiwa ni pa moja na namba za simu na barua pepe. Ila sasa usiogope kupokea simu. Elekeza
maombi kwa Mkurugenzi Mkuu wa UWT. Akifanikiwa naye asiwaige wanaoifanya kazi hiyo kuonekana ni ya watu walioshuka toka mawinguni wakati ni kazi ya kawaida kabisa. Siku njema na Mapumziko Mema.
Mkuu kiukweli nashkuru sana sana kwa msaada wako wa kimawazo nadhan hiyo ni njia nzuri zaidi sana mkuu nomba kama una posta address yao unisaidie hata kama ni PM maana hata anuani yao haionekani kbsa kbsaa nifanye hivyo then niko tayar kumsikia akinipigia simu nitajikaza niongee nae