Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

Wadau habarini.

Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa.

Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake ni nyepesi na zinaonekana vizuri.

Nimejaribu kutafuta jina jingine lenye sifa kama nilivyotaja hapo juu bado sijapata, nimegoogle pia bado sijapat Idea nyingine.
Najua hapa ni kwa GT naweza pata Ideas ya jina la kituo cha mafuta yaani Fuel Station.

Atakefanikisha upatikanaji wa jina lenye sifa nilizotaja nitamzawadia kwa Ubunifu wake.

Natanguliza Shukrani zangu kwa yeyote atakaejishughulisha na hili.
JB OIL SERVICE STATION
 
GALAXY PETROL STATION (GPS)
 
UTEGI OIL Service Station au SILALI PETROL STATION ( SPS)
 
Milestone oil
Clean oil
Double oil
Black oil
Super oil filling station
Mandela Filling station
Falcon
 
PITIA FILLING STATION.
Ukitaka majina simple ndo aina hiyo
 
Milestone oil
Clean oil
Double oil
Black oil
Super oil filling station
Mandela Filling station
Falcon
lakini utakuta katika ndoto zako za usiku unaota kiswahili...

Hayo majina ya kizungu hayana impact yeyote. Mtafutie majina konki ya kiswahili kama vile
BANZI Oil
AZIMIO Filling
MUHIMU Oils
KATAKIU Gas
 
Najua sana kwenye biashara yoyote lazima uzingatie customer profiles ambao ndio walengwa wako,sasa huwezi kuniambia biashara kubwa kama ya petrol station uandike jina la matusi kama ya kwenye vibanda vya chipsi.
You are very wrong.
Mkuu, unajuwa biashara kweli wewe?
 
Wadau habarini.

Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa.

Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake ni nyepesi na zinaonekana vizuri.

Nimejaribu kutafuta jina jingine lenye sifa kama nilivyotaja hapo juu bado sijapata, nimegoogle pia bado sijapat Idea nyingine.
Najua hapa ni kwa GT naweza pata Ideas ya jina la kituo cha mafuta yaani Fuel Station.

Atakefanikisha upatikanaji wa jina lenye sifa nilizotaja nitamzawadia kwa Ubunifu wake.

Natanguliza Shukrani zangu kwa yeyote atakaejishughulisha na hili.
Fupisha jina langu kituo kiitwe LUCKY PETROL STATION.
na Mungu atakubariki.
 
Lake zone petrol station
Kamanga filling station
Kisesa oil Ltd
Kigongo filling station
Busisi petrol station
Highway petrol station
 
Automotive filling station,auto network f'station,trans network f'staion...nk.
 
■ Oildrop Filling station
■ Lakezone Filling station
■ safiri/safari filling station
■ Rush Filling Station
■ Speed Filling Station
■ NorthOil Filling Station
■ Jake Filling Station
■ Onedrop Filling Station
■ SafiOil Filling Station
■ SkyOil Filling Station
■ Sadan Petrol Station
■ OilTank or PureOil or OilBox
■ Oil-Shot, Oil-Point, FastOil
Sky Oil imekaa vizuri
 
najua sana kwenye biashara yoyote lazima uzingatie customer profiles ambao ndio walengwa wako,sasa huwezi kuniambia biashara kubwa kama ya petrol station uandike jina la matusi kama ya kwenye vibanda vya chipsi.
You are very wrong.
Mbona unajichanganya mkuu, wacha kukariri vitu vya kijiweni....nani aliyekuambia "Ingiza Toa" ni tusi, mbona hilo jina linaendana tu na biashara yako ya kituo cha mafuta "Ingiza Toa Filling Station?"
 
Kwa nini usiseme tu Jaza Filling Station au Jaza mafuta Filling station ili kuweka clear kwa watu badala ya kufumba kama mashairi ya taarabu.
Mbona unajichanganya mkuu, wacha kukariri vitu vya kijiweni....nani aliyekuambia "Ingiza Toa" ni tusi, mbona hilo jina linaendana tu na biashara yako ya kituo cha mafuta "Ingiza Toa Filling Station?"
 
Kwanini usitoe kwenye OTTO kwenda OTAL (au itakua inafanana na TOTAL) kwenye copyright inaweza kuwa misleading?

Au kwasababu lengo lilikua jina linalofanana na AUTO kwanini sasa usiite hiyo hiyo Auto Filling Station au iwe N-Gas, N-Petrol Station, N-Fuel, N-whatever inayoendana na kituo cha mafuta (N from your last name).

Au ubadilishe kabisa kutoka kwenye hizo auto sijui otto, mikoani naona watu wengi wanatumia majina yao kwenye vituo vyao vya mafuta.
 
Back
Top Bottom