Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

asante sana Mkuu, natafuta jina ambalo mteja akiliona tu anakumbuka kitu kuhusu gali lake au chombo chake na pia kuona kituo chetu ndio soluhisho la tatizo lake.
Mkuu labda kwa faida ya wengi;
Mteja wako ni nani?
Atakuwa wapi wakati anaona kituo chako?
Utataka akumbuke nini?
Utataka afanye uamuzi gani?

Katika mambo ya branding kuna kitu kinaitwa "brand engagement" Unataka wateja wako waioneje branda yako.Ni muhimu sana uelewe kwamba JIna ambalo litakuvutia wewe linaweza lisimvutie mteja wako.Pia tambua kwamba kujenga jina la biashara ni kama tu jina lako.Ukipewa jina jipya sasa hivi litakukaa sana by association mfano.Kama Nyamusa sio jina lako halisi naamini kabisa wakati unalichagua kulikuwa na kaprocess kafupi na kama hukukafuata ungesahau hili jina minutes baada ya kulichagua.

Ndivyo inavyokuwa hata kwenye kutafuta Password.

Binafsi najua hii njia ni rahisi but imagine kuna wachangiaji zaidi 200 wamekupa majina na bado unaweza usipate jina sahihi kama hutatumia standards za kuchagua jina.Ama la ukajikuta unarudi mezani tena kulitafutia jina mantiki.

Nasema hivi kwa sababu ya uzoefu na pia kwa sababu hii ni kazi ambayo nimeona watu wengi wanaifanya kienyeji baadae BRAND yako inapokuwa kubwa unaanza kuchukia jina ulilochagua kwa sababu haliendani na kiwango chako.

Do it right now kwa sababu naamini kwamba you have the time,energy and the resources.RIGHT BRANDING attracts RIGHT type of Clients
 
Victoria petrol station
Tanganyika petrol station
Sato petrol station
Pure oil petrol station
Gulf petrol station
Stone petrol station (stone city)
high land petrol station
one petrol station
Haya majina, huenda karibu yote ukakuta yametumika.. yako common sana.. hilo la kwanza ni mbona kituo n kikubwa sana hicho cha wese.. moja ya vituo vikubwa sana vya mafuta hapa mjini, hawelag pump mbili sijui tatu.. utakuta 6 na kuendelea
 
~YAM OIL STATION (nYAMsusa)
~USA Highway Filling STATION- (nyamsUSA)
~YAMUSA PETROL STATION- (nYAMsUSA)
~NYASA FUEL STATION -(NYAmsuSA)
~YAMSUSA OIL SERVICES STATION- (nYAMSUSA)

tumia hizo tarakimu za jina lako zina sound na ni portable
 
Wadau habarini.

Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa.

Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake ni nyepesi na zinaonekana vizuri.

Nimejaribu kutafuta jina jingine lenye sifa kama nilivyotaja hapo juu bado sijapata, nimegoogle pia bado sijapat Idea nyingine.
Najua hapa ni kwa GT naweza pata Ideas ya jina la kituo cha mafuta yaani Fuel Station.

Atakefanikisha upatikanaji wa jina lenye sifa nilizotaja nitamzawadia kwa Ubunifu wake.

Natanguliza Shukrani zangu kwa yeyote atakaejishughulisha na hili.
Magu Petro
 
yamekaa kibolingo sana haya
Pentagon petro station
petro station
Don petro station
Elmenteita petro station
Alpha Romeo petro station
Royal petro station
Copenhagen petro station
Kingdom or kings petro station

haya hapa si ya kikongo
 
Back
Top Bottom