Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

Mimi naomba kazi tu tusaidiane kuendesha gharama za maisha duniani apa
 
Kazi za menejment ustusahau mkuu lile jiwe kuu bado halijfanya maamuz juu yetu kwaio kokote kambi tupate kwa kuanzia na vijana wetu naomba kuwek mifumo ya kipesa mpesa airtel money tgo pesa crdb wakala nmb wakala nk
 
Pyramid Petrol Station
Kuwait Petrol station...uwashike waarabu
 
Hiyo utawapata vijana tu hasa wale wa bodaboda,lakini watu wazima na wanaojiheshimu hawatakuja kununua na hawatokuamini
Katika biashara unatakiwa kuwa mtata kidogo ili upate wateja kwa wingi....ukitumia hili jina wateja watakuja kwa wingi kutaka kujuwa kwa nini unaingiza kisha unatoa, ni nini hiyo?
 
Back
Top Bottom