Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

puker

JF-Expert Member
Nov 22, 2018
687
1,000
USAGARA PETROL STATION,au fanya kifupi Your petrol station ...wakazi wa mwa usagara na haice zote zitakuwa na kuja hapo.au MSukuma petrol station,Siri mojaa nikuibie jina sio sababu ya kufanya sheli yako iwe juu,hapo uko chimbo nzuri sana Tena daraja likijengwa utapiga hela Ni kiama sheik.wateke boda boda,haice zote kwa offer nzuri kwamba kila gari likija Kuna commission au part of oil au service Kama pancha ..watapata bure kwa mda ujenge jina
Usagara...ni jina la watu tayar
 

LadyRed

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
9,659
2,000
Wadau habarini.

Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa.

Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake ni nyepesi na zinaonekana vizuri.

Nimejaribu kutafuta jina jingine lenye sifa kama nilivyotaja hapo juu bado sijapata, nimegoogle pia bado sijapat Idea nyingine.
Najua hapa ni kwa GT naweza pata Ideas ya jina la kituo cha mafuta yaani Fuel Station.

Atakefanikisha upatikanaji wa jina lenye sifa nilizotaja nitamzawadia kwa Ubunifu wake.

Natanguliza Shukrani zangu kwa yeyote atakaejishughulisha na hili.
Chagua majina unayopenda kama 3,

Pigia simu ya mezani hao BRELA mjadiliane moja kwa moja.,vinginevyo karibia kila jina utakuta ni used
 

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
49,434
2,000
■ Oildrop Filling station
■ Lakezone Filling station
■ safiri/safari filling station
■ Rush Filling Station
■ Speed Filling Station
■ NorthOil Filling Station
■ Jake Filling Station
■ Onedrop Filling Station
■ SafiOil Filling Station
■ SkyOil Filling Station
■ Sadan Petrol Station
■ OilTank or PureOil or OilBox
■ Oil-Shot, Oil-Point, FastOil
Majina yako yote yamesimama.

Upo vizuri.
 

basa

Senior Member
Mar 21, 2012
138
225
Jaza Fuel Station- The name has got meaning from Swahili word 'Jaza Mafuta'

Kisima Fuel Station- Petroleum and products are being extracted from visima, therefore, naming Kisima would give meaning that the station operates 7/24(assurance of service)

UsaOil Fuel Station- Abbreviated from word Usangara,

Beno Fuel Station- Abbreviated from your middle and last name, its pronouncable
 

Mwanga Mkali

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
350
500
Sunshine filling station - SFS
Why? Sunshine because you will lead all of them. Simple to pronounce, easy to be connected.
 

klinbritetz

Member
Sep 23, 2020
50
95
HUDUMA ZETU
USHAURI NI BURE

KUSAJIL KAMPUNI
-jina la Biashara
-limited caompany
-partneship

HESABU ZA KAMPUNI(FINANCIAL STATEMENTS)

KUANDIKA MEMORANDUM
@teamsolutionconsultation


PIA TUNA HUDUMA ZA USAFI WA:
-Majumbani
-Viwandani
-maofisini
-hosipitalini
-shuleni
-maeneo ya jamii

TUKO NA UZOEFU WAKUTOSHA

Wasiliana nasi kwa # 0788104228

USHAURI NI BURE

Popote ulipo TANZANIA tunakupa huduma.
@Klin&Brite
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom