Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

OTFUEL PETROL STATION.

Hapo ni muunganiko wa majina mawili, OT ni OTTO na FUEL ni Fuel kwa maana ya nishati inayotumika.
 
Mkuu
Unapotafuta Jina la biashara unazingatia kwanza maono yako,location yako,historia,soko .n.k.Wewe unaweza kuona jina halisoud vizuri kwa sababu ni jipya kwako kwani najua hata COCACOLA ilipoanza lilikuwa jina la ajabu refu sana ila baada ya brand kukua sasa hivi ni household name.

Umefanya vizuri kuja hapa kwa GT ila binafsi naweza kukupatia specialized brand consultancy na sio just JINA ila unapochagua JINA liwe na uzito kwako na kwa wateja wako.Ni Mtazamo wangu.Kama utapenda kufahamu zaidi basi nitakucheck PM.

Kila la heri mkuu.
asante sana Mkuu, natafuta jina ambalo mteja akiliona tu anakumbuka kitu kuhusu gali lake au chombo chake na pia kuona kituo chetu ndio soluhisho la tatizo lake.
 
Oil land filing station
Oil mining filing station
Oil city filing station
Cheetah petrolium
Oil wave filing station

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Kaka mm kazi yoyote nafanya kuanzia ile ya kufanta usafi hadi ile ya cashier au hata pump attendant,Nina bachelor degree.
muda ukifika utaomba mkuu then interview ukipita karibu sana.
 
Back
Top Bottom