Sasa si ungem-pm mumeo mkawa mnaflirt humu? Itawaongezea hamasa sana. Unaflirt nae afu unamuambia kamalizie kwa mkeo ukiniwaza, wewe unakuwa hi na yeye pia maisha yanakuwa kama holloween!

Nimeingia Jf baada ya kumuona mume wangu humu.
Natafuta hawara wa kunipotezea mawazo humu chit-chat.
Kwa mwanaume aliye tayari ani-PM.
Ayaaaaaaaa..Loya usianze kuniharibia sasa kwani wewe hutaki nikupumzishe kwa mkeo Madame B ..??Hebu niache kwa raha zangu si unaona kapotea jukwaani...???? watu tuko PM sasa hivi.....Hahahahahahahahahaha
naona paka mweusi unajitahidi.

Ayaaaaaaaa..Loya usianze kuniharibia sasa kwani wewe hutaki nikupumzishe kwa mkeo Madame B ..??Hebu niache kwa raha zangu si unaona kapotea jukwaani...???? watu tuko PM sasa hivi.....
Mtakatifu Pusy, kumbe siku zote hizi ulikua hujapata mwenza?
Asa hiyo mijinafaka unakua unaichujia wapi ?
Changamka sasa! Upumzike na mgalala !
Madameb ni hawara wa Arushaone.
Ayaaaaaaaa..Loya usianze kuniharibia sasa kwani wewe hutaki nikupumzishe kwa mkeo Madame B ..??Hebu niache kwa raha zangu si unaona kapotea jukwaani...???? watu tuko PM sasa hivi.....
Ushindwe na ulegee.
PM na nani?
Afu wewe msiri wangu,endelea.
He hulali mama,mi mwenzio kazi yangu ulinzi...hahahaha
Hapo kwenye PM sikumaanisha wewe nilimaanisha niko
na mtafutaji aliyeanzisha mada hii...
Masihara wapi mkuu?
Watu tupo serious na business hapa!