Natafuta Hawara

Natafuta Hawara

Masihara mengine si mazuri. Tulifanya masihara hivihivi na cacico tukajikuta tuko kwenye sita kwa sita. Hivi sasa analea mimba yangu.

Ya maneno au ya kweli kweli.
 
Last edited by a moderator:
Nimeingia Jf baada ya kumuona mume wangu humu.
Natafuta hawara wa kunipotezea mawazo humu chit-chat.
Kwa mwanaume aliye tayari ani-PM.

wako akiwa kwako akija humu si wako
wako akiwa kwako akiwa humu si wakooo...
kinyago cha mpapure nyamaza nikusitiri kinyagi cha mpepure nyamaza nisikusauuureeeee
achia ngazi bibi mchuma kuchukua Madame B achia ngazi bibi mchuma anao cacico
shika shika shka vidonge vyako ukimeza ukitema hilo ni shauri yakooo!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wacha niwapumzishe kaka,si unakumbuka kuwa hata wewe ulinikasirikiaga pale nilipoonyesha interesiti kwa beibe nasty..sasa ni wakati wenu wewe na ruttashobolwa kupumua ila nawaomba tu msiniharibie na hapa...

Mtakatifu, mi labda ulini'read opposite !
Sijawahi na sitowahi thereafter kukukasirikia wewe na mwingine awaye yoyote akiwa na interest na umsemae.
To be closed with someone is just a game!
Leo kwangu kesho kwako, nevertheless you're still interested , you just try seduce her again.
Coz mwenye maamuzi is the one who requistable .
 
Hata wakikuweka kidole kwenye mboni yako usemage hivyo hivyo.
 
Kamwaga Ugali wewe una mwaga mboga..safi sana....
 
Mtakatifu, mi labda ulini'read opposite !
Sijawahi na sitowahi thereafter kukukasirikia wewe na mwingine awaye yoyote akiwa na interest na umsemae.
To be closed with someone is just a game!
Leo kwangu kesho kwako, nevertheless you're still interested , you just try seduce her again.
Coz mwenye maamuzi is the one who requistable .

Salute mkuu unafaa kweli katika jamii..........
 
Sasa si ungem-pm mumeo mkawa mnaflirt humu? Itawaongezea hamasa sana. Unaflirt nae afu unamuambia kamalizie kwa mkeo ukiniwaza, wewe unakuwa hi na yeye pia maisha yanakuwa kama holloween!

Hahahahaha lolest.....mke mwenza ungemuuliza kwanza kamuona mumewe akifanya nini? Isijekuta mbaba wa watu yuko bize SI- HA -SA -NI

Una ushauri wa giza wewe khaaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom