Natafuta binti Salaf wa kuoa

Natafuta binti Salaf wa kuoa

Shekhe bin awf umejilipua hahaha wenzio tumetafuta mpaka tumebakisha kigezo awe mwanamke tu, hebu wacha nisubscribe huu uzi ukipata mke salafiyyah humu na mimi ntajikita hapa love connect aisee, Allah akufanyie wepesi.
Kwa JF sidhani sijawahi mgumia , ila mtaani wapo wengi tu haswa maeneo karibu na Markaz za Kisalafi
 
NATAFUTA BINTI WA KUOA.

Email yangu
natafutamke872@gmail.com

Dini: Muislamu naitakidi na kufuata manhaj salafi

Urefu: 158 cm

Umri: 30

Kazi/kipato. Namshukuru Allah napata rizki kiasi cha kumudu majukumu ya ndoa.

Makazi: Mara nyingi napatikana Dar es Salaam na mikoa ya jirani.

Elimu ya Dini: Najifunza na naendelea kujifunza masomo ya kidini, pia nimehifadhi sehemu ktk Qur’ān.

MIONGONI MWA SIFA NINAZOTAKA KWA MWENZA

Muislamah anayefuata manhaj ya Salaf, mwenye maadili na tabia njema, stara, na mcha Mungu.

Mwenye mapenzi ya dhati na atayeweza kudumisha upendo ndani ya ndoa.

Awe na tabia ya uwazi na ukweli.

Umri: kuanzia miaka 18 hadi 26. Nje ya range tunaweza pia kuzungumza

Elimu: angalau kiwango cha kidato cha nne au zaidi. Mimi nimezid zaid ya hapo.

Urefu: sawa na wangu au chini kidogo, au juu yangu kama atapenda.

Mwonekano: Mrembo, mwenye umbo zuri(shape), rangi ya ngozi maji ya kunde au mweupe.

Anayejitahidi kuheshimu mipaka ya kisheria.

Ikiwa ana mtoto, basi awe ni mjane (mume alifariki dunia).

Mtu mwenye mawazo chanya, anayependa mashauriano ili changamoto zitatuliwe kwa njia bora.

Maelekezo ya Mawasiliano:
Atakayevutiwa na wasifu huu awashirikishe watu wa nyumbani kwake (walii/wake) ili tufanye mawasiliano kwa uwazi na staha.

Na anitumie wasifu wake pia kwa njia ya email.
natafutamke872@gmail.com
Unatafuta salafi humu?
 
Huna cha kuchangia kwani lazima uchangie? Mengine unapita tu hata kama una chuki na Uislam na Waislam.
Critical thinking,
Ni member hapa so Nna uhuru wa kuweka mawazo yangu.
Mi Pia ni Ishmael km Hujui, so Acha chuki.
Sina tofauti yoyote na waislamu.
 
Mhh salafi umkute jamii forum?
 
Njoo Pongwe wamejaa..kuna chuo chao kabisa hapa cha Kasimu mafuta ujichagulie...maini matupu,nawaona wakipita hapa kwangu mizigo ipo kwenye turubai lakini haijifichi..!
Kule mtu lazima ufanyiwe verification hauwezi kupata kirahisi ukiwa haufahamiki na hakuna anayekujua yaani mtu kaja na kanzu na kofia apewe , rahisi ukiwa na mtu anakujua Mimi rafiki yangu alipata huko kutokana na connection na Sheikh mmoja alikuwa anamfahamu ikawa rahisi kupata mke .

Hofu kubwa ni mtu kuangukia katika mikono mibaya ndio maana mtu hapewike kizembe.
 
Critical thinking,
Ni member hapa so Nna uhuru wa kuweka mawazo yangu.
Mi Pia ni Ishmael km Hujui, so Acha chuki.
Sina tofauti yoyote na waislamu.

Kuwa na uhuru wa kuweka mawazo yako haimaanishi kama kuna sehemu huna cha kuchangia uandike chochote tu. Jf mtu kwa sababu anaweza ku comment ana comment tu anachojisikia.

Halafu wewe ni kafiri na huwa una chuki na Waislam.
 
Halafu wewe ni kafiri na huwa una chuki na Waislam
Nimejaribu kuongea kistaarabu unaniita kafir.
Asante sana, lakini we ngumbaru hupati mke yoyote JF bwege wewe.
We fala hata kutongoza mtaani huwezi nyambafu hata mke si utaolea watu mbwiga wewe.
Nshaoa Tanga, Mombasa,Dubai, äZanzibar na kila nchi we uniite kafir maskin wahed na hiyo pedo yako na kanzu nyau we
 
NATAFUTA BINTI WA KUOA.

Email yangu
natafutamke872@gmail.com

Dini: Muislamu naitakidi na kufuata manhaj salafi

Urefu: 158 cm

Umri: 30

Kazi/kipato. Namshukuru Allah napata rizki kiasi cha kumudu majukumu ya ndoa.

Makazi: Mara nyingi napatikana Dar es Salaam na mikoa ya jirani.

Elimu ya Dini: Najifunza na naendelea kujifunza masomo ya kidini, pia nimehifadhi sehemu ktk Qur’ān.

MIONGONI MWA SIFA NINAZOTAKA KWA MWENZA

Muislamah anayefuata manhaj ya Salaf, mwenye maadili na tabia njema, stara, na mcha Mungu.

Mwenye mapenzi ya dhati na atayeweza kudumisha upendo ndani ya ndoa.

Awe na tabia ya uwazi na ukweli.

Umri: kuanzia miaka 18 hadi 26. Nje ya range tunaweza pia kuzungumza

Elimu: angalau kiwango cha kidato cha nne au zaidi. Mimi nimezid zaid ya hapo.

Urefu: sawa na wangu au chini kidogo, au juu yangu kama atapenda.

Mwonekano: Mrembo, mwenye umbo zuri(shape), rangi ya ngozi maji ya kunde au mweupe.

Anayejitahidi kuheshimu mipaka ya kisheria.

Ikiwa ana mtoto, basi awe ni mjane (mume alifariki dunia).

Mtu mwenye mawazo chanya, anayependa mashauriano ili changamoto zitatuliwe kwa njia bora.

Maelekezo ya Mawasiliano:
Atakayevutiwa na wasifu huu awashirikishe watu wa nyumbani kwake (walii/wake) ili tufanye mawasiliano kwa uwazi na staha.

Na anitumie wasifu wake pia kwa njia ya email.
natafutamke872@gmail.com
Wewe ni kabila gani?
 
Kule mtu lazima ufanyiwe verification hauwezi kupata kirahisi ukiwa haufahamiki na hakuna anayekujua yaani mtu kaja na kanzu na kofia apewe , rahisi ukiwa na mtu anakujua Mimi rafiki yangu alipata huko kutokana na connection na Sheikh mmoja alikuwa anamfahamu ikawa rahisi kupata mke .

Hofu kubwa ni mtu kuangukia katika mikono mibaya ndio maana mtu hapewike kizembe.
Mi mwenyewe nataka niende home nina connection nikavute mchumba salafi
 
Nimejaribu kuongea kistaarabu unaniita kafir.
Asante sana, lakini we ngumbaru hupati mke yoyote JF bwege wewe.
We fala hata kutongoza mtaani huwezi nyambafu hata mke si utaolea watu mbwiga wewe.
Nshaoa Tanga, Mombasa,Dubai, äZanzibar na kila nchi we uniite kafir maskin wahed na hiyo pedo yako na kanzu nyau we
Nimecheka sana hii comment, kilichonichekesha ni I'd yako ni ya 2009 ila umekiwasha kama chalii mwenye miaka 18
 
Nimepitia comments, nimeona watu wanamitazamo mingi.
Nimepata mbinu salama kutoka kwenye comments za baadhi ya watu bila shaka ni ndugu zangu hao. Niseme tu nimezichukua, nitazifanyia kazi na nitafanikiwa kwa msaada wa mola wangu.

Lkn nimethibitisha kweli duniani kuna watu na viatu kupitia comments zingine.

Na mimi acha niseme kitu kidogo.

Zama tulizonazo kupata binti ni rahisi mno kuliko zamani nafikiri hata kama ukiwa ni bubu/huwezi kuongea. Lakini kupata binti mwenye sifa za kuolewa ni vigumu mno kuliko zamani. Hasa ukizingatia malengo na mtizamo binafsi.

Mimi sitafuti perfect women 100% bali yule mwenye sifa nilizozitaja japo si zote na ambaye nitaweza kuvumilia mapungufu yatayokuwepo.
Naamini wapo pia mabinti wanaotafuta ndoa na wanatumia mitandao ya kijamii, lkn kutokana na maadili yao hawafiki kirahisi, wameamua kujihifadhi hawajaruhusu kufikika na wanaume ovyo bila sababu za msingi, huenda nikawafikia.

Silaha yangu ni kumuomba sana Mwenyezi mungu kisha kufanya jitihada ya kutafuta kama hivi na kuchuja. Sina ujanja mwingine.

Japo si lazima iwe humu jf huenda akapatikana kwa njia tofauti lkn nitakuwa nimepata.

"Ugali wa kuiva unaonekana mapema tu"

Tuendelee kushirikiana.
 
🤣🤣🤣🤣
Unatoaje maneno makali hivyo kwa mke WA ustadhi mtarajiwa?
Mke wa Ustaadh halafu unakula kitimoto! Wewe baki kwa sisi makaffir wenzako. Sheikh anatafuta binti Muislamah anayefuata manhaj salafi! Wewe huna sifa.

Au unataka kusema ukiambiwa uvalishwe mabomu na kwenda kuwalipua ndugu zako wanaosali Kanisani, utakubali? Hayo ndiyo manhaj salafi yenyewe sasa.

Halafu wewe si baba wa mtoto wako bado yuko hai? Kosa lingine hili.
 
Nimepitia comments, nimeona watu wanamitazamo mingi.
Nimepata mbinu salama kutoka kwenye comments za baadhi ya watu bila shaka ni ndugu zangu hao. Niseme tu nimezichukua, nitazifanyia kazi na nitafanikiwa kwa msaada wa mola wangu.

Lkn nimethibitisha kweli duniani kuna watu na viatu kupitia comments zingine.

Na mimi acha niseme kitu kidogo.

Zama tulizonazo kupata binti ni rahisi mno kuliko zamani nafikiri hata kama ukiwa ni bubu/huwezi kuongea. Lakini kupata binti mwenye sifa za kuolewa ni vigumu mno kuliko zamani. Hasa ukizingatia malengo na mtizamo binafsi.

Mimi sitafuti perfect women 100% bali yule mwenye sifa nilizozitaja japo si zote na ambaye nitaweza kuvumilia mapungufu yatayokuwepo.
Naamini wapo pia mabinti wanaotafuta ndoa na wanatumia mitandao ya kijamii, lkn kutokana na maadili yao hawafiki kirahisi, wameamua kujihifadhi hawajaruhusu kufikika na wanaume ovyo bila sababu za msingi, huenda nikawafikia.

Silaha yangu ni kumuomba sana Mwenyezi mungu kisha kufanya jitihada ya kutafuta kama hivi na kuchuja. Sina ujanja mwingine.

Japo si lazima iwe humu jf huenda akapatikana kwa njia tofauti lkn nitakuwa nimepata.

"Ugali wa kuiva unaonekana mapema tu"

Tuendelee kushirikiana.
Nimekuuliza wewe kabila gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom