- Thread starter
- #101
Kuna baadh ya taarifa nimeziacha ni kwa ajili ya step 2. Na hii nayo ipo.Nimekuuliza wewe kabila gani?
Kuna baadh ya taarifa nimeziacha ni kwa ajili ya step 2. Na hii nayo ipo.Nimekuuliza wewe kabila gani?
Hamna niko humu toka 1997 jambo forum.Nimecheka sana hii comment, kilichonichekesha ni I'd yako ni ya 2009 ila umekiwasha kama chalii mwenye miaka 18
Hahaah mkuu usije ukawa jirani yangu.Njoo Pongwe wamejaa..kuna chuo chao kabisa hapa cha Kasimu mafuta ujichagulie...maini matupu,nawaona wakipita hapa kwangu mizigo ipo kwenye turubai lakini haijifichi..!
Hapa ndio kwenye shida ya dini yanguMasalafi wanaufuata Uislam ulioachwa na Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) ambao hata mimi na wewe wote tunalazimika kuufuata na kuacha yaliyozushwa katika Dini. Sijui kwanini umeandika hivyo hapo! Kwani sisi tunatakiwa kumfuata nani kwenye hii Dini Tukufu ya Uislam? Unajuwa kuwa Uislam aliouacha Mtume (Swala na salamu ziwe juu yake) na wakaushikilia Maswahaba zake (Allah Awaridhie) bado upo na ukahifadhiwa kizazi kwa kizazi mpaka leo? Wapo watu waliosimama katika njia ya Maswahaba tokea enzi zao mpaka leo na wakapambana na kubainisha yaliyozushwa na yaliyotaka kuingizwa katika Uislam ambayo hayapo na Uislam Sahihi ukabaki mpaka leo.
Kaamua kuja hapa akidhania wapo Masalafi ambao watamsaidia katika jambo hili jema.
Nani kakuambia hili kwamba hawaozani wao kwa wao?
Usalafi ndio Uislam Sahihi. Mapungufu binafsi ya Masalafi mtu mmoja mmoja hayaondoi ukweli kuwa Usalafi ndio Uislam Sahihi na ndio Haqq na Masalafi ndio watu wa Haqq hata kama wao sio infallible.
Hata hivyo tungeacha uzi ubaki katika lengo lake.
Allah aniongoze mimi na wewe katika njia iliyonyooka, Allahumma Aamiin.
Kabisa kabisa ustadh, au huko kuna connection?.
Hapa kwenye haya makundi ondoa shiya na ahmadia haya hayafai kabisa kwenye uisilamu na sio miongoni mwa waisilamu.Hapa ndio kwenye shida ya dini yangu
1. Al Sunnah waljamaatuh
2. Sunni(Wahabbiya)
3. Suffih
4. Salafiyah
5. Ahmadiyah
6. Shiyah
Dini moja, Mungu mmoja, Mtume mmoja, kitabu kimoja tumakundi makundi twa nini? Tunakosa umoja ndio maana middle East kanchi kama Israel kanasambaratisha waislam wa nchi zote za middle East kwa ajili ya kukosa umoja ni shida sana
Anyway, mleta mada upate hitaji la moyo wako inshallah
Hawa masturati{kwa sauti ya jaamatu ttabligh} watatuua.Bado ndugu yangu
Shekhe fungua markaz tu tuje kusoma.Hapa kwenye haya makundi ondoa shiya na ahmadia haya hayafai kabisa kwenye uisilamu na sio miongoni mwa waisilamu.
Ahl sunna na Salafi hawa ndio huitwa Wahabi kwq pmj.
Sufii ndio bakwata ambao ni waisilqmu pia ila kuna madhaifu yao lkn yanarekebishika na hayajawatoa kwenye uisilamu kwa maana mapungufu yao wengi ni kuzusha tu baadhi ya mambo kwenye dini kwa kukosa tu elimu
Mf suni na salafi anaweza kuswali nyuma ya sufi lkn si nyuma ya shia wala ahmadia
HahahahaHawa masturati{kwa sauti ya jaamatu ttabligh} watatuua.
Kama ana sifa zote ila hana shape halafu ni mweusi hafai?🤔NATAFUTA BINTI WA KUOA.
Email yangu
natafutamke872@gmail.com
Dini: Muislamu naitakidi na kufuata manhaj salafi
Urefu: 158 cm
Umri: 30
Kazi/kipato. Namshukuru Allah napata rizki kiasi cha kumudu majukumu ya ndoa.
Makazi: Mara nyingi napatikana Dar es Salaam na mikoa ya jirani.
Elimu ya Dini: Najifunza na naendelea kujifunza masomo ya kidini, pia nimehifadhi sehemu ktk Qur’ān.
MIONGONI MWA SIFA NINAZOTAKA KWA MWENZA
Muislamah anayefuata manhaj ya Salaf, mwenye maadili na tabia njema, stara, na mcha Mungu.
Mwenye mapenzi ya dhati na atayeweza kudumisha upendo ndani ya ndoa.
Awe na tabia ya uwazi na ukweli.
Umri: kuanzia miaka 18 hadi 26. Nje ya range tunaweza pia kuzungumza
Elimu: angalau kiwango cha kidato cha nne au zaidi. Mimi nimezid zaid ya hapo.
Urefu: sawa na wangu au chini kidogo, au juu yangu kama atapenda.
Mwonekano: Mrembo, mwenye umbo zuri(shape), rangi ya ngozi maji ya kunde au mweupe.
Anayejitahidi kuheshimu mipaka ya kisheria.
Ikiwa ana mtoto, basi awe ni mjane (mume alifariki dunia).
Mtu mwenye mawazo chanya, anayependa mashauriano ili changamoto zitatuliwe kwa njia bora.
Maelekezo ya Mawasiliano:
Atakayevutiwa na wasifu huu awashirikishe watu wa nyumbani kwake (walii/wake) ili tufanye mawasiliano kwa uwazi na staha.
Na anitumie wasifu wake pia kwa njia ya email.
natafutamke872@gmail.com
😂😂Shekhe fungua markaz tu tuje kusoma.
Hahah sina huo ushekhe ndugu yngu lkn pia sina ujinga kwenye dini ila naendelea kujifunzaShekhe fungua markaz tu tuje kusoma.
Tanga kakaWapi hiyo? Pongwe ya Tanga?
Na hilo ndio tatizo ndio maana gaza wanauliwa saudia wanashangiliaHapa kwenye haya makundi ondoa shiya na ahmadia haya hayafai kabisa kwenye uisilamu na sio miongoni mwa waisilamu.
Ahl sunna na Salafi hawa ndio huitwa Wahabi kwq pmj.
Sufii ndio bakwata ambao ni waisilqmu pia ila kuna madhaifu yao lkn yanarekebishika na hayajawatoa kwenye uisilamu kwa maana mapungufu yao wengi ni kuzusha tu baadhi ya mambo kwenye dini kwa kukosa tu elimu
Mf suni na salafi anaweza kuswali nyuma ya sufi lkn si nyuma ya shia wala ahmadia
Ila Watanzania kwa kukurupuka hatuna baya kitu si kitu utaskia “Ndio maana Gaza wanauliwa” Unaweza kutoa ushahidi walau wa maneno yanayo onyesha gaza wakiuliwa huku saudia wakishangilia?!Na hilo ndio tatizo ndio maana gaza wanauliwa saudia wanashangilia
Kwamba nipo mahakamani nimeshitakiwa na nguruwe pori netanyahu?😅😅😅 Natakiwa kutoa ushahidiIla Watanzania kwa kukurupuka hatuna baya kitu si kitu utaskia “Ndio maana Gaza wanauliwa” Unaweza kutoa ushahidi walau wa maneno yanayo onyesha gaza wakiuliwa huku saudia wakishangilia?!
Hahhah huna cha kujibu, Anyways but zaidi ya mara moja huwa nmekuona like you hold inflexible views while you’re unwilling to accept corrections😌.Kwamba nipo mahakamani nimeshitakiwa na nguruwe pori netanyahu?😅😅😅 Natakiwa kutoa ushahidi
Ukiona nimesema kitu jua ni kweli siku hizi ukweli unavungwa vungwa kwa propaganda za media uchwaraHahhah huna cha kujibu, Anyways but zaidi ya mara moja huwa nmekuona like you hold inflexible views while you’re unwilling to accept corrections😌.