Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,966
- 8,091
We pambana na ubalozi wa products za Ali top.Fanya hima shehe ndoa Ni kutimiza nusu ya dini!
We pambana na ubalozi wa products za Ali top.Fanya hima shehe ndoa Ni kutimiza nusu ya dini!
Hiv ndo nnUnaijua Manhaj Salaf?
Natafuta wa tatu bhana.Aamiiiin. Wewe bado ndugu yangu
AaamiiinAllah akitilie wepesi
Sheikh nakuombea Allah akufanyie wepesi ila kwa kupitia humu sidhan,wanawake wa hzo sifa ulizotaja majukwaa kma Haya ni nadra sana kumkuta....labda mtu wa humu aone Hili tangazo Amwambie huyo mlengwa ila si directly kumpata humu.Aaamiiin
Aaamiiin kwa dua yako.Sheikh nakuombea Allah akufanyie wepesi ila kwa kupitia humu sidhan,wanawake wa hzo sifa ulizotaja majukwaa kma Haya ni nadra sana kumkuta....labda mtu wa humu aone Hili tangazo Amwambie huyo mlengwa ila si directly kumpata humu.
Sheikh kwa uzoefu wangu wanawake walioonyooka hivyo Huwa Sio watu wa mitandao,humu utapata "waigizaji"....utapewa intro Pale mwanzo tu,kivumbi subiri kma miezi mitatu hv utaelewa na utajuta kutafuta wanawake kupitia humu.
Humu Labda tafuta mke upambane umkunje/umfunze mwenyewe,hzo sifa za huyo uliyemchora hapo juu utakaa sana sheikh wangu.
Nipiganishie Kwa shehe bwana,mambo ya kuvaa majuba yanazungumzika🤗🤗🤗🤗🤗🤗We pambana na ubalozi wa products za Ali top.
Umeamua kutusagia kunguni Kwa shehe au sio??Sheikh nakuombea Allah akufanyie wepesi ila kwa kupitia humu sidhan,wanawake wa hzo sifa ulizotaja majukwaa kma Haya ni nadra sana kumkuta....labda mtu wa humu aone Hili tangazo Amwambie huyo mlengwa ila si directly kumpata humu.
Sheikh kwa uzoefu wangu wanawake walioonyooka hivyo Huwa Sio watu wa mitandao,humu utapata tu "waigizaji"....utapewa intro Pale mwanzo tu,kivumbi subiri kma miezi mitatu hv utaelewa na utajuta kutafuta wanawake kupitia humu.
Humu Labda tafuta mke upambane umkunje/umfunze mwenyewe,hzo sifa za huyo uliyemchora hapo juu utakaa sana sheikh wangu.
Umejielezea vizuri Sana!! Mkristu anayetaka kuwa Ustadhati humtaki?
UMESHACHEMKA KABLA YA KUMPATA MZEENATAFUTA BINTI WA KUOA.
Email yangu
natafutamke872@gmail.com
Dini: Muislamu naitakidi na kufuata manhaj salafi
Urefu: 158 cm
Umri: 30
Kazi/kipato. Namshukuru Allah napata rizki kiasi cha kumudu majukumu ya ndoa.
Makazi: Mara nyingi napatikana Dar es Salaam na mikoa ya jirani.
Elimu ya Dini: Najifunza na naendelea kujifunza masomo ya kidini, pia nimehifadhi sehemu ktk Qur’ān.
MIONGONI MWA SIFA NINAZOTAKA KWA MWENZA
Muislamah anayefuata manhaj ya Salaf, mwenye maadili na tabia njema, stara, na mcha Mungu.
Mwenye mapenzi ya dhati na atayeweza kudumisha upendo ndani ya ndoa.
Awe na tabia ya uwazi na ukweli.
Umri: kuanzia miaka 18 hadi 26. Nje ya range tunaweza pia kuzungumza
Elimu: angalau kiwango cha kidato cha nne au zaidi. Mimi nimezid zaid ya hapo.
Urefu: sawa na wangu au chini kidogo, au juu yangu kama atapenda.
Mwonekano: Mrembo, mwenye umbo zuri(shape), rangi ya ngozi maji ya kunde au mweupe.
Anayejitahidi kuheshimu mipaka ya kisheria.
Ikiwa ana mtoto, basi awe ni mjane (mume alifariki dunia).
Mtu mwenye mawazo chanya, anayependa mashauriano ili changamoto zitatuliwe kwa njia bora.
Maelekezo ya Mawasiliano:
Atakayevutiwa na wasifu huu awashirikishe watu wa nyumbani kwake (walii/wake) ili tufanye mawasiliano kwa uwazi na staha.
Na anitumie wasifu wake pia kwa njia ya email.
natafutamke872@gmail.com
Upumbavu Ni upi hapo?Swali la kipumbavu sana. Nyie madogo shule hampendi kabisa.
Kwa nnUMESHACHEMKA KABLA YA KUMPATA MZEE
SIYO KILA ANAYEVAA HIJABU ANAZOSIFA ZA KUWA MKE TU KWASABABU NI MUISLAMU. WENGINE NI WASHENZI KULIKO HATA MA BAR MAID. KUWA MAKINI SANA NA HIVYO VIGEZOKwa nn