Black Tanzanite
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 589
- 763
Hapana dada...sasa ni zamu yako na wewe UONJE LADHA YA NDOA....olewa sasa uheshimike na wanawake wenzioUnataka uolewe na wanaume wawili?
Hapana dada...sasa ni zamu yako na wewe UONJE LADHA YA NDOA....olewa sasa uheshimike na wanawake wenzioUnataka uolewe na wanaume wawili?
SIYO KILA ANAYEVAA HIJABU ANAZOSIFA ZA KUWA MKE TU KWASABABU NI MUISLAMU. WENGINE NI WASHENZI KULIKO HATA MA BAR MAID. KUWA MAKINI SANA NA HIVYO VIGEZO
SALAFI YA NYOKO....MOJA KATI YA WATU HATARI NA WA HOVYO SANA KATIKA SUALA ZIMA LA NDOA,NI HAWA WANAOJIITA SALAFI.....🙌🤣 MSAADA WA USHAURI SI UKACHUKUE KWA SALAFI WENZIO HAWAKOSI MADADA YAKHEEE😁🤝
Kuoa na kuacha kwao sio ishu,ndio usalafi huo.hata watoto wadogo wao wanaoa tu
Masharti mengi, si uzae wako..
Unaanza kututajia maneno ambayo hata hatujawahi sikia, mahajil salaf sijui, Kwanza utakuwa gaidi wewe..
Ndiyo mliofurumishwa gaza, utasemaje unapatikana dar na mikoa ya karibu.. yaani huna makazi maalum..
Kwanza ningekuwa nakufahamu ningekulisha🐷🐖
majitu ya hovyo mno.....elimu hayana kazi kulishana misimamo tu😁
Yaah njia rahisi ni hii.Wako wengi misikiti ya ki Sunna wanasoma jion utawakuta wamevaa nikab tengeneza bond na Imam akuonyeshe alietulia upambanie huku jf hachelewi mwanaume kuvaa nikab akajifanya ndo huyo mwanamke Salafi
Kama unae dada yako mpe😀Huenda huujui Usalafi. Wengi wanaouchukia Usalafi ni kwa sababu hawaujui na wamemezeshwa chuki. Masalafi wanaupiga vita mno ujinga katika Dini. Elimu ya Dini kwao ni kipaumbele.
Halafu tuache kumharibia ndugu yetu uzi.
Ni kama hao wakujiita salafi dini waliipokea moja kwa moja kutoka kwa mtume....KWANI YEYE HANA SALAFI WENZIE? HAWANA WANAWAKE? Hata wao kwa wao sasa hivi hawaozani kwa misimamo yao ya hovyo hovyo!Kama wewe ni Muislam mche Allah ndugu yangu. Chuki zisikuendeshe
Masalafi wanaufuata Uislam ulioachwa na Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) ambao hata mimi na wewe wote tunalazimika kuufuata na kuacha yaliyozushwa katika Dini. Sijui kwanini umeandika hivyo hapo! Kwani sisi tunatakiwa kumfuata nani kwenye hii Dini Tukufu ya Uislam? Unajuwa kuwa Uislam aliouacha Mtume (Swala na salamu ziwe juu yake) na wakaushikilia Maswahaba zake (Allah Awaridhie) bado upo na ukahifadhiwa kizazi kwa kizazi mpaka leo? Wapo watu waliosimama katika njia ya Maswahaba tokea enzi zao mpaka leo na wakapambana na kubainisha yaliyozushwa na yaliyotaka kuingizwa katika Uislam ambayo hayapo na Uislam Sahihi ukabaki mpaka leo.Ni kama hao wakujiita salafi dini waliipokea moja kwa moja kutoka kwa mtume
Kaamua kuja hapa akidhania wapo Masalafi ambao watamsaidia katika jambo hili jema.....KWANI YEYE HANA SALAFI WENZIE? HAWANA WANAWAKE?
Hata wao kwa wao sasa hivi hawaozani kwa misimamo yao ya hovyo hovyo!
kusema ukweli huyo hata mtaani kumpata ni shughuli.Sheikh nakuombea Allah akufanyie wepesi ila kwa kupitia humu sidhan,wanawake wa hzo sifa ulizotaja majukwaa kma Haya ni nadra sana kumkuta....labda mtu wa humu aone Hili tangazo Amwambie huyo mlengwa ila si directly kumpata humu.
Sheikh kwa uzoefu wangu wanawake walioonyooka hivyo Huwa Sio watu wa mitandao,humu utapata tu "waigizaji"....utapewa intro Pale mwanzo tu,kivumbi subiri kma miezi mitatu hv utaelewa na utajuta kutafuta wanawake kupitia humu.
Humu Labda tafuta mke upambane umkunje/umfunze mwenyewe,hzo sifa za huyo uliyemchora hapo juu utakaa sana sheikh wangu.
Akisha kuepo anaolewa chap sana mtaani maana nyuki wanapenda maua mazuri matulivu.kusema ukweli huyo hata mtaani kumpata ni shughuli.
Sasa kama ni hivyo huyu mmejuana love connect achana naye, si tuzungumze na mimi tu mkuu.Nipiganishie Kwa shehe bwana,mambo ya kuvaa majuba yanazungumzika🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Hahah halafu shughuli ni kwamba hakuna atakayekwambia ukimtuma mtu akienda akiona mazingira yalivyo anakuzunguka anachukua yeye, vinginevyo ndoa simple ataipata mtwara na lindi tu.Akisha kuepo anaolewa chap sana mtaani maana nyuki wanapenda maua mazuri matulivu.
Inshort binti akiishika Manhaj salafy vzr haswaaa, basi ndoa kwake ni swala la kugusa tu.
kusema ukweli huyo hata mtaani kumpata ni shughuli.