Natafuta binti Salaf wa kuoa

Natafuta binti Salaf wa kuoa

NATAFUTA BINTI WA KUOA.

Email yangu
natafutamke872@gmail.com

Dini: Muislamu naitakidi na kufuata manhaj salafi

Urefu: 158 cm

Umri: 30

Kazi/kipato. Namshukuru Allah napata rizki kiasi cha kumudu majukumu ya ndoa.

Makazi: Mara nyingi napatikana Dar es Salaam na mikoa ya jirani.

Elimu ya Dini: Najifunza na naendelea kujifunza masomo ya kidini, pia nimehifadhi sehemu ktk Qur’ān.

MIONGONI MWA SIFA NINAZOTAKA KWA MWENZA

Muislamah anayefuata manhaj ya Salaf, mwenye maadili na tabia njema, stara, na mcha Mungu.

Mwenye mapenzi ya dhati na atayeweza kudumisha upendo ndani ya ndoa.

Awe na tabia ya uwazi na ukweli.

Umri: kuanzia miaka 18 hadi 26. Nje ya range tunaweza pia kuzungumza

Elimu: angalau kiwango cha kidato cha nne au zaidi. Mimi nimezid zaid ya hapo.

Urefu: sawa na wangu au chini kidogo, au juu yangu kama atapenda.

Mwonekano: Mrembo, mwenye umbo zuri(shape), rangi ya ngozi maji ya kunde au mweupe.

Anayejitahidi kuheshimu mipaka ya kisheria.

Ikiwa ana mtoto, basi awe ni mjane (mume alifariki dunia).

Mtu mwenye mawazo chanya, anayependa mashauriano ili changamoto zitatuliwe kwa njia bora.

Maelekezo ya Mawasiliano:
Atakayevutiwa na wasifu huu awashirikishe watu wa nyumbani kwake (walii/wake) ili tufanye mawasiliano kwa uwazi na staha.

Na anitumie wasifu wake pia kwa njia ya email.
natafutamke872@gmail.com
SALAFI YA NYOKO....MOJA KATI YA WATU HATARI NA WA HOVYO SANA KATIKA SUALA ZIMA LA NDOA,NI HAWA WANAOJIITA SALAFI.....🙌🤣 MSAADA WA USHAURI SI UKACHUKUE KWA SALAFI WENZIO HAWAKOSI MADADA YAKHEEE😁🤝
 
Km umemkosa huko msikitini utampata huku?
 
SALAFI YA NYOKO....MOJA KATI YA WATU HATARI NA WA HOVYO SANA KATIKA SUALA ZIMA LA NDOA,NI HAWA WANAOJIITA SALAFI.....🙌🤣 MSAADA WA USHAURI SI UKACHUKUE KWA SALAFI WENZIO HAWAKOSI MADADA YAKHEEE😁🤝

Kuoa na kuacha kwao sio ishu,ndio usalafi huo.hata watoto wadogo wao wanaoa tu
 
Masharti mengi, si uzae wako..

Unaanza kututajia maneno ambayo hata hatujawahi sikia, mahajil salaf sijui, Kwanza utakuwa gaidi wewe..

Ndiyo mliofurumishwa gaza, utasemaje unapatikana dar na mikoa ya karibu.. yaani huna makazi maalum..

Kwanza ningekuwa nakufahamu ningekulisha🐷🐖
 
NATAFUTA BINTI WA KUOA.

Email yangu
natafutamke872@gmail.com

Dini: Muislamu naitakidi na kufuata manhaj salafi

Urefu: 158 cm

Umri: 30

Kazi/kipato. Namshukuru Allah napata rizki kiasi cha kumudu majukumu ya ndoa.

Makazi: Mara nyingi napatikana Dar es Salaam na mikoa ya jirani.

Elimu ya Dini: Najifunza na naendelea kujifunza masomo ya kidini, pia nimehifadhi sehemu ktk Qur’ān.

MIONGONI MWA SIFA NINAZOTAKA KWA MWENZA

Muislamah anayefuata manhaj ya Salaf, mwenye maadili na tabia njema, stara, na mcha Mungu.

Mwenye mapenzi ya dhati na atayeweza kudumisha upendo ndani ya ndoa.

Awe na tabia ya uwazi na ukweli.

Umri: kuanzia miaka 18 hadi 26. Nje ya range tunaweza pia kuzungumza

Elimu: angalau kiwango cha kidato cha nne au zaidi. Mimi nimezid zaid ya hapo.

Urefu: sawa na wangu au chini kidogo, au juu yangu kama atapenda.

Mwonekano: Mrembo, mwenye umbo zuri(shape), rangi ya ngozi maji ya kunde au mweupe.

Anayejitahidi kuheshimu mipaka ya kisheria.

Ikiwa ana mtoto, basi awe ni mjane (mume alifariki dunia).

Mtu mwenye mawazo chanya, anayependa mashauriano ili changamoto zitatuliwe kwa njia bora.

Maelekezo ya Mawasiliano:
Atakayevutiwa na wasifu huu awashirikishe watu wa nyumbani kwake (walii/wake) ili tufanye mawasiliano kwa uwazi na staha.

Na anitumie wasifu wake pia kwa njia ya email.
natafutamke872@gmail.com
Nafungua darasa la kutongoza online watu wote ambao mmeshindwa kutongoza mnitafute niwape do and don't,ukiwa na maarifa haya utatuongoza mpaka kukubaliwa.
 
Aaamiiin kwa dua yako.
Nimefurah ujumbe wako nimeufeel akhy umenyoosha maneno. Lkn naomba uwe barozi ndugu yangu.

Nimecheka kwa sauti eti huyo uliyemchora😂😂😂

Naamini pia humu wapo japo cjaishia humu nimefanya attempt kwa namna nying co huku tu.
Salafi umeyumba kwenye emoji ulizotumia ni katika picha.
 
Aaamiiin kwa dua yako.
Nimefurah ujumbe wako nimeufeel akhy umenyoosha maneno. Lkn naomba uwe barozi ndugu yangu.

Nimecheka kwa sauti eti huyo uliyemchora😂😂😂

Naamini pia humu wapo japo cjaishia humu nimefanya attempt kwa namna nying co huku tu.
Wako wengi misikiti ya ki Sunna wanasoma jion utawakuta wamevaa nikab tengeneza bond na Imam akuonyeshe alietulia upambanie huku jf hachelewi mwanaume kuvaa nikab akajifanya ndo huyo mwanamke Salafi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom