Natafuta binti Salaf wa kuoa

Natafuta binti Salaf wa kuoa

nenda kwenye marakiz zenu za Albany, Omar bin khattab, pongwe, msaud, kwa mkolemba kaongee na masheimh zako wakupatie mke unayefanana nae
Hapo umechanganya mchanga na mchele pasi na kujua, albaani pale kwa binti madenge na huko kwa diwani kwa mkolemba hao sio masalafi ni extremists wa kihajaawirah allah awaongoze.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom