Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,844
- 6,692
Hahah sio kw ile voicenote Nyamwi au uliiazima kwa jirqniNitaftie binti basi nioe
Hahah sio kw ile voicenote Nyamwi au uliiazima kwa jirqniNitaftie binti basi nioe
Hahaha husahauHahah sio kw ile voicenote Nyamwi au uliiazima kwa jirqni
Hahah dah nimekuwa mrs non tena! Mi nilifurahishwa tu na jibu la mrs non kwa jamaaSafi sana mrs non
Mbn unajitetea sana relax bro halafu unijibu nilichokuuliza kabla hujaanza kutoa kitu😄Hahah dah nimekuwa mrs non tena! Mi nilifurahishwa tu na jibu la mrs non kwa jamaa
Kwanini usioe mwanamke mwenye miaka 9 kama dini inavyosema.NATAFUTA BINTI WA KUOA.
Email yangu
natafutamke872@gmail.com
Dini: Muislamu naitakidi na kufuata manhaj salafi
Urefu: 158 cm
Umri: 30
Kazi/kipato. Namshukuru Allah napata rizki kiasi cha kumudu majukumu ya ndoa.
Makazi: Mara nyingi napatikana Dar es Salaam na mikoa ya jirani.
Elimu ya Dini: Najifunza na naendelea kujifunza masomo ya kidini, pia nimehifadhi sehemu ktk Qur’ān.
MIONGONI MWA SIFA NINAZOTAKA KWA MWENZA
Muislamah anayefuata manhaj ya Salaf, mwenye maadili na tabia njema, stara, na mcha Mungu.
Mwenye mapenzi ya dhati na atayeweza kudumisha upendo ndani ya ndoa.
Awe na tabia ya uwazi na ukweli.
Umri: kuanzia miaka 18 hadi 26. Nje ya range tunaweza pia kuzungumza
Elimu: angalau kiwango cha kidato cha nne au zaidi. Mimi nimezid zaid ya hapo.
Urefu: sawa na wangu au chini kidogo, au juu yangu kama atapenda.
Mwonekano: Mrembo, mwenye umbo zuri(shape), rangi ya ngozi maji ya kunde au mweupe.
Anayejitahidi kuheshimu mipaka ya kisheria.
Ikiwa ana mtoto, basi awe ni mjane (mume alifariki dunia).
Mtu mwenye mawazo chanya, anayependa mashauriano ili changamoto zitatuliwe kwa njia bora.
Maelekezo ya Mawasiliano:
Atakayevutiwa na wasifu huu awashirikishe watu wa nyumbani kwake (walii/wake) ili tufanye mawasiliano kwa uwazi na staha.
Na anitumie wasifu wake pia kwa njia ya email.
natafutamke872@gmail.com
Kama una binti muozeshe kwakeKwanini usioe mwanamke mwenye miaka 9 kama dini inavyosema.
mimi tayari mkuu, nilikuwa nampambania hivihivi akanioaWewe huitaki hii bahati hii au umeshaolewa tayari!?
Sauti nzuri ile ujue na ilipenya hadi ndani ya mtima hadi pale pa siriniHahaha husahau
Umempendeleq na yeye. safi sna!Kama una binti muozeshe kwake
Ni mkristo sema anaufanyia mzaha uislamu kwa kujifanya shia.Mmh kweli? Kivip?
Sina binti, ila ni vizuri kufata sunna za mtume.Kama una binti muozeshe kwake
mrs huwa hajifichi, umbeya ukizidi lazima upewe bwana tu 😅😅😅Hahah dah nimekuwa mrs non tena! Mi nilifurahishwa tu na jibu la mrs non kwa jamaa
Inategemea ila km unauendea uisilamu kwa mafundisho ya quran na sunnah kwa kufuata mafundisho ya dini kupitia wema walio tangulia na unajiepisha na mambo ya kuzushwa ktk dini wewe ni Salafy ila km wewe ni Muisilamu wa dufu,khitima,kudhikiri na maulidi basi ni sufyOya bro wakuperuzi mm nipo kundi gani salafy au 😋
Kigezo muhimu kabisa!"Ikiwa ana mtoto, basi awe ni mjane (mume alifariki dunia)."
HahahahaAAA
si uende wewePole sana watakuja
Ugaid tu muoneNATAFUTA BINTI WA KUOA.
Email yangu
natafutamke872@gmail.com
Dini: Muislamu naitakidi na kufuata manhaj salafi
Urefu: 158 cm
Umri: 30
Kazi/kipato. Namshukuru Allah napata rizki kiasi cha kumudu majukumu ya ndoa.
Makazi: Mara nyingi napatikana Dar es Salaam na mikoa ya jirani.
Elimu ya Dini: Najifunza na naendelea kujifunza masomo ya kidini, pia nimehifadhi sehemu ktk Qur’ān.
MIONGONI MWA SIFA NINAZOTAKA KWA MWENZA
Muislamah anayefuata manhaj ya Salaf, mwenye maadili na tabia njema, stara, na mcha Mungu.
Mwenye mapenzi ya dhati na atayeweza kudumisha upendo ndani ya ndoa.
Awe na tabia ya uwazi na ukweli.
Umri: kuanzia miaka 18 hadi 26. Nje ya range tunaweza pia kuzungumza
Elimu: angalau kiwango cha kidato cha nne au zaidi. Mimi nimezid zaid ya hapo.
Urefu: sawa na wangu au chini kidogo, au juu yangu kama atapenda.
Mwonekano: Mrembo, mwenye umbo zuri(shape), rangi ya ngozi maji ya kunde au mweupe.
Anayejitahidi kuheshimu mipaka ya kisheria.
Ikiwa ana mtoto, basi awe ni mjane (mume alifariki dunia).
Mtu mwenye mawazo chanya, anayependa mashauriano ili changamoto zitatuliwe kwa njia bora.
Maelekezo ya Mawasiliano:
Atakayevutiwa na wasifu huu awashirikishe watu wa nyumbani kwake (walii/wake) ili tufanye mawasiliano kwa uwazi na staha.
Na anitumie wasifu wake pia kwa njia ya email.
natafutamke872@gmail.com
Oya wee Smooth Criminal ni mselaNimefurahi Mrs none umempendelea kheri dada yetu Smooth Criminal kwenye hii nafasi Allah akuzdishie kheri kwa kutokuwa mbinafsi maana ww kwa sasa bdo una uzito