Natafuta binti Salaf wa kuoa

Natafuta binti Salaf wa kuoa

Manhaj Salaf ni njia, misingi, na mwenendo wa kufahamu, kuamini, na kutenda mambo ya dini ya Kiislamu kwa kufuata mwendo wa Salafus-Saalih — yaani Waislamu wa mwanzo waliokuwa na uelewa sahihi wa dini:
1. Sahaba (waliokuwa pamoja na Mtume
2. Tabi'in (waliowafuata Sahaba)
3. Tabi'ut-Tabi'in Maana ya "Manhaj" – ni mfumo au njia ya kufuata katika kuelewa na kutekeleza dini.
🔹 Maana ya "Salaf" – ni waliotangulia (watangulizi wa kwanza wa Uislamu wenye uelewa safi).
Mambo makuu katika Manhaj Salaf:
1. Kufuata Qur’an na Sunnah kwa ufahamu wa Salafus-Saalih, si kwa mawazo binafsi au falsafa mpya.
2. Kuepuka bid’ah (mambo mapya katika dini yasiyo na msingi katika Qur’an na Sunnah).
3. Kuweka ibada na itikadi kwa usahihi kulingana na alivyoelekeza Mtume ﷺ na Sahaba.
4. Kudumisha umoja na kuepuka migawanyiko isiyo na msingi wa kisharia.
5. Kuheshimu viongozi wa dini na umma kwa adabu za Kiislamu
Mfano rahisi: Kama Qur’an ni ramani, na Sunnah ni maelekezo ya safari, basi Manhaj Salaf ni jinsi unavyozitumia ramani na maelekezo hayo kwa kufuata njia iliyopitiwa na wale waliopata mafunzo moja kwa moja kutoka kwa Mtume

USSR




Allah Akuongoze usilimu mkuu USSR Uislam ni kheri kubwa mno kwako ukiufuata. Tena ukisilimu ukawa Salafi moja kwa moja hadi raha, kheri juu ya kheri. Allah Akuongoze katika Uislam. Allah ajaalie katika kuufuatilia fuatilia kwako Usalafi Allah Aufungue Moyo wako Usilimu.

Allah Akuongoze katika Uislam, Aamiin.
 
Hapa kwenye haya makundi ondoa shiya na ahmadia haya hayafai kabisa kwenye uisilamu na sio miongoni mwa waisilamu.
Ahl sunna na Salafi hawa ndio huitwa Wahabi kwq pmj.
Sufii ndio bakwata ambao ni waisilqmu pia ila kuna madhaifu yao lkn yanarekebishika na hayajawatoa kwenye uisilamu kwa maana mapungufu yao wengi ni kuzusha tu baadhi ya mambo kwenye dini kwa kukosa tu elimu
Mf suni na salafi anaweza kuswali nyuma ya sufi lkn si nyuma ya shia wala ahmadia
Kumbe lina akili tatizo bangi😅😅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom