Natafuta binti Salaf wa kuoa

Natafuta binti Salaf wa kuoa

Ni mkristo sema anaufanyia mzaha uislamu kwa kujifanya shia.
Huyu Busu la Kenge naomba waniachie Mimi maana napenda battles na watu wanaojichetua , tayari mpaka sasa nimeshamsababishia harasa kwa ID zake za Zamani hata marafiki zake na ndugu zake wanamtafuta hawajui kichaka chake kipya .

Sasa hiki nataka nikizime kikatili nataka aje na kichaka Kingine Busu la Nguruwe , steps ya kwanza sasa nyuzi zake za ujinga zipo under my surveillance nazihujumu zinafutwa sasa nasubiri Angie kwenye mtego wa kumpoteza mazima kama vilivyopotea vichaka vyake vya Zamani.
 
Nafungua darasa la kutongoza online watu wote ambao mmeshindwa kutongoza mnitafute niwape do and don't,ukiwa na maarifa haya utatuongoza mpaka kukubaliwa.
Ukishatongoza faida ni zipi na tofauti na yule asiyetongoza?
 
Tukirudi darasani kusoma basi wote tutaangukia kwenye uzushi kwa maana haya madh'habu yote yamekuja baada ya Mtume Muhammad ﷺ

Tukiwa kama waumini tunapaswa kufuata Qur'an na Sunnah na siyo kufuata madhehebu yaliyotokana na ikhtilafu za wanazuoni.

Haya madhehebu yanatufanya tunadharauliana na kila mmoja kujiona anaelimu na ni mmbora kuliko mwengine.

Binafsi mimi sifurahishwi na hizi tofauti na sifati upande wowote kutoka kwenye hayo madhehebu na inapokuja fatwah kuhusu jambo fulani basi hutumia rejea ya wanazuoni wote kisha huchukua hoja yenye nguvu zaidi bila kupingana na hoja zingine.

Kuhusu Shia na Ahmadiyah iko wazi inafahamika siyo katika Uislamu.

Wallahu A'lam.

Khalas.
Hamna kitu hapa, wagumu tuna dumu😂🤣
 
Hahahahah!! Mimi nilipokuwa nasoma chuoni Kuna Markaz maeneo ya karibu karibia mbili za Kisalafi na palepale chuoni katika masomo yetu ya dini tunafuata Manhaj Salafi ni rahisi hata mabinti wakija walipotoka hawafahamu kitu kupikwa na kuwa Masalafi na Alhamdulillah chuo chetu kimezalisha Masalafi wengi wa Kike na wa Kiume.

Na vilevile Alhamdulillah mtaani nlipokulia na kuishi Kuna Jamii ya Kisalafi nikiwa nikijipanga In Shaa Allaah ni simu moya kuvuta waya mke tayari.

Cha kukusaidia taafuta Markaz za Kisalafi zilizo karibu sidhani kama Kuna mkoa hakuna huko unapata kiurahisi na uhakika zaidi.
Hahahh hapa yenyewe niko markaz, naona wageni ndo wanakuja kuoa ila sisi wenyeji mtihani mkuu.
 
Huyu Busu la Kenge naomba waniachie Mimi maana napenda battles na watu wanaojichetua , tayari mpaka sasa nimeshamsababishia harasa kwa ID zake za Zamani hata marafiki zake na ndugu zake wanamtafuta hawajui kichaka chake kipya .

Sasa hiki nataka nikizime kikatili nataka aje na kichaka Kingine Busu la Nguruwe , steps ya kwanza sasa nyuzi zake za ujinga zipo under my surveillance nazihujumu zinafutwa sasa nasubiri Angie kwenye mtego wa kumpoteza mazima kama vilivyopotea vichaka vyake vya Zamani.
Hahahah umetisha sana jumong.
 
Juzi nmetoka kuzungumzia haya mambo ya I'd feki na HASARA zake

Full stop, kwishaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom