Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,994
- 48,498
Mimi nishakuwa shangazi nawaachia wasichanasi uende wewe
Mimi nishakuwa shangazi nawaachia wasichanasi uende wewe
😃😃😃Nipe nduguyako ambae hayupo jf nitakubali 😃Nilitaka nikuite, njia ipo wazi😅😅
Sijaewa chochoteBusu la Kenge ni product ya Ghayos Gang ambayo inajumlisha members kama Maghayo , The Mongolian Savage , the stress Challengerr nk hapo nyani mmoja misitu tofauti .
Nilianzisha vita nae na kuunguza vichaka vyote niliianza na vidogo Kisha nikamiliza kubwa la maadui Maghayo The Great Barbarian , na aliingia kwenye 19 zangu akajaa vizuri zimepewa permanent Ban akawa Jf anaichungukia tu hawezi kufanya chochote ndio sasa kimekuja kichaka kipya Busu la Kenge lakini nyani yule yule from Ghayos Family.
Cc : Mrs none
Mmh.
Kuna usafiri gani wa kwenda songea mchana huu mkuu.Mmh vipi??
Kila la kheri mkuuNATAFUTA BINTI WA KUOA.
Email yangu
natafutamke872@gmail.com
Dini: Muislamu naitakidi na kufuata manhaj salafi
Urefu: 158 cm
Umri: 30
Kazi/kipato. Namshukuru Allah napata rizki kiasi cha kumudu majukumu ya ndoa.
Makazi: Mara nyingi napatikana Dar es Salaam na mikoa ya jirani.
Elimu ya Dini: Najifunza na naendelea kujifunza masomo ya kidini, pia nimehifadhi sehemu ktk Qur’ān.
MIONGONI MWA SIFA NINAZOTAKA KWA MWENZA
Muislamah anayefuata manhaj ya Salaf, mwenye maadili na tabia njema, stara, na mcha Mungu.
Mwenye mapenzi ya dhati na atayeweza kudumisha upendo ndani ya ndoa.
Awe na tabia ya uwazi na ukweli.
Umri: kuanzia miaka 18 hadi 26. Nje ya range tunaweza pia kuzungumza
Elimu: angalau kiwango cha kidato cha nne au zaidi. Mimi nimezid zaid ya hapo.
Urefu: sawa na wangu au chini kidogo, au juu yangu kama atapenda.
Mwonekano: Mrembo, mwenye umbo zuri(shape), rangi ya ngozi maji ya kunde au mweupe.
Anayejitahidi kuheshimu mipaka ya kisheria.
Ikiwa ana mtoto, basi awe ni mjane (mume alifariki dunia).
Mtu mwenye mawazo chanya, anayependa mashauriano ili changamoto zitatuliwe kwa njia bora.
Maelekezo ya Mawasiliano:
Atakayevutiwa na wasifu huu awashirikishe watu wa nyumbani kwake (walii/wake) ili tufanye mawasiliano kwa uwazi na staha.
Na anitumie wasifu wake pia kwa njia ya email.
natafutamke872@gmail.com
Kuna usafiri gani wa kwenda songea mchana huu mkuu.
Nashukuru sana salafiyyah wetu.Zipo bus zote zinatoka mchana,au jioni saa 12, songea unafikia saa 11 asubuhi,
Inaonekana unachuki sana na masalafy..SALAFI YA NYOKO....MOJA KATI YA WATU HATARI NA WA HOVYO SANA KATIKA SUALA ZIMA LA NDOA,NI HAWA WANAOJIITA SALAFI.....🙌🤣 MSAADA WA USHAURI SI UKACHUKUE KWA SALAFI WENZIO HAWAKOSI MADADA YAKHEEE😁🤝
Ipo na imezaa matunda alhamdulilahWewe nae honeymoon yako ilitrend huku jukwaani, hivi ile ndoa bado ipo kweli?.
Fanya uolewe dada muda umekutupa mkonosawa kaka mwangwi
Sufi ndo hawa bakwata? auSufy ni waisilamu pia ila wana hii changamoto ya kuzua kwajili ya dini ambayo ni upotovu ila haiwakufurishi(kuwatoakweyeuisilamu) ambayo hii iko wazi kila mwenye kuzua kwenye dini ni mpotevu na km atakufa na hali hii akiwa anaendeleza uzushi atakutana na adhabu yake
Bas mm ni salafyInategemea ila km unauendea uisilamu kwa mafundisho ya quran na sunnah kwa kufuata mafundisho ya dini kupitia wema walio tangulia na unajiepisha na mambo ya kuzushwa ktk dini wewe ni Salafy ila km wewe ni Muisilamu wa dufu,khitima,kudhikiri na maulidi basi ni sufy

Mtoto mzuri kama huyu kwanini nisimpendeleeUmempendeleq na yeye. safi sna!
nenda kwenye marakiz zenu za Albany, Omar bin khattab, pongwe, msaud, kwa mkolemba kaongee na masheimh zako wakupatie mke unayefanana naeNATAFUTA BINTI WA KUOA.
Email yangu
natafutamke872@gmail.com
Dini: Muislamu naitakidi na kufuata manhaj salafi
Urefu: 158 cm
Umri: 30
Kazi/kipato. Namshukuru Allah napata rizki kiasi cha kumudu majukumu ya ndoa.
Makazi: Mara nyingi napatikana Dar es Salaam na mikoa ya jirani.
Elimu ya Dini: Najifunza na naendelea kujifunza masomo ya kidini, pia nimehifadhi sehemu ktk Qur’ān.
MIONGONI MWA SIFA NINAZOTAKA KWA MWENZA
Muislamah anayefuata manhaj ya Salaf, mwenye maadili na tabia njema, stara, na mcha Mungu.
Mwenye mapenzi ya dhati na atayeweza kudumisha upendo ndani ya ndoa.
Awe na tabia ya uwazi na ukweli.
Umri: kuanzia miaka 18 hadi 26. Nje ya range tunaweza pia kuzungumza
Elimu: angalau kiwango cha kidato cha nne au zaidi. Mimi nimezid zaid ya hapo.
Urefu: sawa na wangu au chini kidogo, au juu yangu kama atapenda.
Mwonekano: Mrembo, mwenye umbo zuri(shape), rangi ya ngozi maji ya kunde au mweupe.
Anayejitahidi kuheshimu mipaka ya kisheria.
Ikiwa ana mtoto, basi awe ni mjane (mume alifariki dunia).
Mtu mwenye mawazo chanya, anayependa mashauriano ili changamoto zitatuliwe kwa njia bora.
Maelekezo ya Mawasiliano:
Atakayevutiwa na wasifu huu awashirikishe watu wa nyumbani kwake (walii/wake) ili tufanye mawasiliano kwa uwazi na staha.
Na anitumie wasifu wake pia kwa njia ya email.
natafutamke872@gmail.com
Dah basi aongeze ongeze vigezoMimi nishakuwa shangazi nawaachia wasichana
we shoga mimi siwezi kukuoa maana naona unatafuta mtu wa kukufukua mtaro huo. mabwabwa mnahangaika sanaFanya uolewe dada muda umekutupa mkono
Hongera kwa kuolewamimi tayari mkuu, nilikuwa nampambania hivihivi akanioa