Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,444
- 96,830
Oya kumbe we ni mdada?mimi tayari mkuu, nilikuwa nampambania hivihivi akanioa
Oya kumbe we ni mdada?mimi tayari mkuu, nilikuwa nampambania hivihivi akanioa
Huna hata wapwa zakoSina binti, ila ni vizuri kufata sunna za mtume.
Kumbe mm ni salafy na hawa sufy ndo wakina nani? Nao ni waislamu?Inategemea ila km unauendea uisilamu kwa mafundisho ya quran na sunnah kwa kufuata mafundisho ya dini kupitia wema walio tangulia na unajiepisha na mambo ya kuzushwa ktk dini wewe ni Salafy ila km wewe ni Muisilamu wa dufu,khitima,kudhikiri na maulidi basi ni sufy
Sikumaanisha kama ulivofikiria dada smooth 👌mrs huwa hajifichi, umbeya ukizidi lazima upewe bwana tu 😅😅😅
Nimemsoma mkuu Raisi wa jamhuri ya majoblesOya wee Smooth Criminal ni msela
Kwanini usioe mwanamke mwenye miaka 9 kama dini inavyosema.
Akipatikana au kama unaye ntaoa hakuna tabu.Kwanini usioe mwanamke mwenye miaka 9 kama dini inavyosema.
Sufy ni waisilamu pia ila wana hii changamoto ya kuzua kwajili ya dini ambayo ni upotovu ila haiwakufurishi(kuwatoakweyeuisilamu) ambayo hii iko wazi kila mwenye kuzua kwenye dini ni mpotevu na km atakufa na hali hii akiwa anaendeleza uzushi atakutana na adhabu yakeKumbe mm ni salafy na hawa sufy ndo wakina nani? Nao ni waislamu?
Wewe si salafi na hutowapata masalafi labda salafi jina si manhaj na imeisha, halafu we salafi mwenyezimungu ni nani?NATAFUTA BINTI WA KUOA.
Email yangu
natafutamke872@gmail.com
Dini: Muislamu naitakidi na kufuata manhaj salafi
Urefu: 158 cm
Umri: 30
Kazi/kipato. Namshukuru Allah napata rizki kiasi cha kumudu majukumu ya ndoa.
Makazi: Mara nyingi napatikana Dar es Salaam na mikoa ya jirani.
Elimu ya Dini: Najifunza na naendelea kujifunza masomo ya kidini, pia nimehifadhi sehemu ktk Qur’ān.
MIONGONI MWA SIFA NINAZOTAKA KWA MWENZA
Muislamah anayefuata manhaj ya Salaf, mwenye maadili na tabia njema, stara, na mcha Mungu.
Mwenye mapenzi ya dhati na atayeweza kudumisha upendo ndani ya ndoa.
Awe na tabia ya uwazi na ukweli.
Umri: kuanzia miaka 18 hadi 26. Nje ya range tunaweza pia kuzungumza
Elimu: angalau kiwango cha kidato cha nne au zaidi. Mimi nimezid zaid ya hapo.
Urefu: sawa na wangu au chini kidogo, au juu yangu kama atapenda.
Mwonekano: Mrembo, mwenye umbo zuri(shape), rangi ya ngozi maji ya kunde au mweupe.
Anayejitahidi kuheshimu mipaka ya kisheria.
Ikiwa ana mtoto, basi awe ni mjane (mume alifariki dunia).
Mtu mwenye mawazo chanya, anayependa mashauriano ili changamoto zitatuliwe kwa njia bora.
Maelekezo ya Mawasiliano:
Atakayevutiwa na wasifu huu awashirikishe watu wa nyumbani kwake (walii/wake) ili tufanye mawasiliano kwa uwazi na staha.
Na anitumie wasifu wake pia kwa njia ya email.
natafutamke872@gmail.com
Aah subutuuuu!binti kiziwi, nawe kwenu ni hawa kina manhaj salafi?, sio kina haji manara😂
hahah achana na hao Rais wangu✊Oya wee Smooth Criminal ni msela
nimejibu jibu alilotaka yeyeOya kumbe we ni mdada?
sawa kaka mwangwiSikumaanisha kama ulivofikiria dada smooth 👌
Amesema ni zaidi ya kidato Cha nne.elimu dunia yako ikoje sheikh?
Umeruka hicho kipengele,ili wakujue zaidii
Hahahahah!! Mimi nilipokuwa nasoma chuoni Kuna Markaz maeneo ya karibu karibia mbili za Kisalafi na palepale chuoni katika masomo yetu ya dini tunafuata Manhaj Salafi ni rahisi hata mabinti wakija walipotoka hawafahamu kitu kupikwa na kuwa Masalafi na Alhamdulillah chuo chetu kimezalisha Masalafi wengi wa Kike na wa Kiume.Dah wapi huko? tufunge safari hata usiku huu huu.
Busu la Kenge ni product ya Ghayos Gang ambayo inajumlisha members kama Maghayo , The Mongolian Savage , the stress Challengerr nk hapo nyani mmoja misitu tofauti .Huyo "busu la kenge" nadhani ni mtu mmoja anayekuja na Id nyingi kama maghayo na wenzie (nadhani huwa anafungiwa fungiwa na anakuja na Id mpya) ni mkristo ila anajifanya shia.
adriz
Hahahahah!! inashangaza Mwanetu JangHyuk ni KE , dogo umeshakosa Mali kutoka JoseonOya kumbe we ni mdada?