Natabiri kuna jambo zito sana la siri linaendelea katika siasa za Tanzania

Nasikia sauti ktk moyo wangu ina niambia kuna jambo lasiri sana linaendelea ktk siasa za Tanzania.

Jambo hili hata mimi sijuwi ila yatupasa kuliombea taifa kwa machozi na damu.

Kuna kimya chakutisha sana tena kutoka kwa wenye roho za hili Taifa, kuna giza nene limeikumba nchi na tunaiyona nembo ya taifa tu ikiwakawaka ktk moyo wa Taifa...
Ukimya huu huwezi kuuwona wala kuhisi kama nimwanadam wakawaida. Ila mimi naona nakuwathibitishia kalitafute neno au andiko lamzee yeyote unaye mjuwa mwenye hekima na alie shiba siri za taifa hili... Ukiliona rudi hapa uniambie mm nitapeli.
Kama ni mchezo wa draft basi mchezeshaji wa hii draft atakuwa na nguvu za ajabu maana draft inameza kete na draft inatoa mlio wa ajabu pindi kete zinasukumwa....
Hakuna anaye shituka wala kudhania kesho yaweza ikawa juu chini na chini juuu...

Mtikisiko ulio ikumba Dodoma sasa unaenda kuwa mtikisiko mkubwa zaidi kwakuwa serikali inaongozwa kwa siri na wengi hufa na siri zao.

Basi tuliombee taifa.
Epuka kuongea au kumsuta mwenzako ukijuwa unaye msuta hujuwi kama vile wewe hakujuwi.

Nawaona wana kijani wanaongea sana nakudhani kuanguka kwa Ndugai ni fursa ila nataka niwaambie huu ndio mwanzo wa utungu.

Yapo mambo hatuyaoni ila sasa yataonekana.

Yapo mambo hatujuwi ila sasa yatajulikana.

Wakati haya yanaendelea mataifa yenye nguvu duniani yanafuwatilia kwa ukaribu kile kinaendelea ktk siasa za Tz.

Pray for Nation. Amen
Oyaa!!! Acha kuota mchana tangu lini draft likameza kete hebu tupishe hapa tupo busy na mikakati ya KATIBA MPYA

Acha kulialia tupa hilo koti la kijani kamata bango la "KATIBA MPYA" tusonge mpaka kieleweke
 
Jambo ambalo huwa linanishangaza kwa hawa manabii pori, utabiri wao siku zote ni MABAYA tu🤥

Ina maana hakuna jema hata moja linastahili kwa hii nchi!?
Tabiri zenu ni Majanga, mikosi, balaa, vifo na makorokoro mengine yafananayo na hayo..tabirini NEEMA sasa.
Tumechoka!
Hakika kubwa sana mkuu, si nyumba za ibada si mtaani si popote pale unapotokea utabiri

basi ni wa hatari na wakuogofya, kwani Mungu huonyesha watu wake mabaya tu? sipuuzi

utabiri wa mtoa mada ila nina maswali mengi sana na kila wanaotabiri mabaya juu ya jambo lolote.
 
Nasikia sauti ktk moyo wangu ina niambia kuna jambo lasiri sana linaendelea ktk siasa za Tanzania.

Jambo hili hata mimi sijuwi ila yatupasa kuliombea taifa kwa machozi na damu.

Kuna kimya chakutisha sana tena kutoka kwa wenye roho za hili Taifa, kuna giza nene limeikumba nchi na tunaiyona nembo ya taifa tu ikiwakawaka ktk moyo wa Taifa...
Ukimya huu huwezi kuuwona wala kuhisi kama nimwanadam wakawaida. Ila mimi naona nakuwathibitishia kalitafute neno au andiko lamzee yeyote unaye mjuwa mwenye hekima na alie shiba siri za taifa hili... Ukiliona rudi hapa uniambie mm nitapeli.
Kama ni mchezo wa draft basi mchezeshaji wa hii draft atakuwa na nguvu za ajabu maana draft inameza kete na draft inatoa mlio wa ajabu pindi kete zinasukumwa....
Hakuna anaye shituka wala kudhania kesho yaweza ikawa juu chini na chini juuu...

Mtikisiko ulio ikumba Dodoma sasa unaenda kuwa mtikisiko mkubwa zaidi kwakuwa serikali inaongozwa kwa siri na wengi hufa na siri zao.

Basi tuliombee taifa.
Epuka kuongea au kumsuta mwenzako ukijuwa unaye msuta hujuwi kama vile wewe hakujuwi.

Nawaona wana kijani wanaongea sana nakudhani kuanguka kwa Ndugai ni fursa ila nataka niwaambie huu ndio mwanzo wa utungu.

Yapo mambo hatuyaoni ila sasa yataonekana.

Yapo mambo hatujuwi ila sasa yatajulikana.

Wakati haya yanaendelea mataifa yenye nguvu duniani yanafuwatilia kwa ukaribu kile kinaendelea ktk siasa za Tz.

Pray for Nation. Amen
Nchi ni salama,hayo ni mandoto yako ya hovyo tu,watanzania tupo salama kuliko kipindi chochote kile.
#SSH_2040.
 
Nguvu kubwa inatumia kuunyamazisha upinzani, ndani na nje ya CCM, lakini miaka ijayo, hawa leo wanao nangwa watakumbukwa kama mashujaa, wapigiwao makofi watakumbukwa tofauti.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Katika wote Job Ndugai amepata laana mbaya sana kwa yale aliyoyatenda dhidi ya watu wengi alipokuwa spika!! Atakumbukwa kwa mabaya.
 
Una kichwa KIZITO we Jamaa dah!!! mafuta kupanda juuuuu Maana yake ni kuichonganisha serikali na Raia na malalamiko yatachochea uasi sawa!!?na kupanda HUKO kuna fanywa maksudi KABISA!!jazia nyama SASA!!
Sijui kama atakuelewa
 
Hakuna cha siri wala nini. Kuna Sukuma gang, linajulikana. Wanafik watupu kama vile pascal njaa kali.
Wanabodi,
As days goes by, hizi issues za hii kitu inayoitwa Sukuma Gang is escalating to the point of unbecoming!. Sukuma gang ni itikadi siyo kabila
Sukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu.
Si kweli!. The Sukuma Gang ni a fictitious Group that doesn't exist in reality lililobiniwa na yule Kigogo wa Twitter na watu wajinga wajinga wenye akili fupi wakaamini hili kundi ni kweli lipo!. Kiukweli kabisa Sukuma Gang sio kundi la kweli, halipo popote and don't exist anywhere in reality except ndani ya vichwa vya watu waliofilisika kisiasa!.
Kwahiyo itikadi hii isihusishwe na kabila la Wasukuma. Mfano, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ndugu Sabaya yeye ni Sukuma gang lakini siyo Msukuma. Wengine ni Polepole, Ndugai, Bashiru, Mnyeti, Happi, Kabudi, n.k.
Pia sii kweli!, bali baada ya Kigogo wa Twitter kuliasisi kundi hili fictitious, akatumia nguvu kubwa kulifanyia indoctrination kuwa hili kundi does real exist, hivyo wale watu wa Magufuli na watu wote wanaomsupport Magufuli wakawa pointed kuwa ni members wa Sukuma Gang, hata mimi ni Msukuma, na namsupport Magufuli na sio Sukuma Gang!.
Lakini wapo Wasukuma ambao pia ni wafuasi watiifu wa itikadi hii ya sukuma gang. Sina haja ya kuwataja.
Hakuna kitu kama hiki, ila kwa vile indoctrination ya existence ya uwepo wa kundi hili imefanyika na watu wenye akili fupi waliofilisika kisiasa wakaamini', kama na wewe unaamini kuwa kundi la Sukuma Gang kweli lipo and does exist in reality, ujijue ni akili fupi and muflis kisiasa kama wale muflis wengine wote wanaoamini ujinga huu!
Nimeandika haya ili kuondoa dhana inayotaka kujengwa na baadhi ya watu ama kwa upotoshaji wa makusudi au kwa bahati mbaya kuwa kuwachukia wafuasi wa Sukuma gang ni kuchukia Wasukuma. Hili siyo jambo zuri na kufanya hivyo ni kupanda mbegu ya ukabila.
Hapa nakuunga mkono!.
Mm Sexless mwandishi wa uzi huu nawachukia Sukuma gang na muasisi wao ingawa nami ni Msukuma.
Kumchukia mtu yoyote kwasababu yoyote sio jambo jema!. Dini zinatufunza hata adui mpende!. Hivyo it's not right kumchukia mtu yoyote!.

Japo hii shana ya the existence of the Sukuma Gang ni dhana tuu, na the Sukuma Gang ni just a fictitious Group that doesn't exist in reality, lakini kufuatia indoctrination iliyofanywa na yule Kigogo wa Twitter, watu wenye akili ndogo, akili fupi na waliofilisika ki fikra, wakaamini, hivyo chuki dhidi ya Wasukuma is real!. Hili sio jambo jema!.

Kufuatia kabila la Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa Tanzania kuliko makabila yote, zikitokea nafasi zozote za uongozi, na watu wote wako huru kugombea, obviously Wasukuma pia lazima watakuwepo.

Kulitokea nafasi fulani za uongozi ndani chama fulani, wakajitokeza wagombea 186 kugombea nafasi 8 aa uongozi. Miongoni mwa waliojitokeza walikuwepo Wasukuma wengi tuu ila mimi nawajua kulikuwa na Wasukuma wawili ambao kama wangepitishwa wangetupatia wawakilishi wazuri the best of the best.

Ikasemekana kuwa mmoja kati ya hao Wasukuma wawili ni member wa the Sukuma Gang!. Then kwenye mchujo ikaelezwa kuwa wamepewa maelekezo hatua ya kwanza kabisa ni kuwakata Wasukuma wote waliojitokeza!. Na kweli Wasukuma woote tukakatwa eti ni Sukuma Gang!. This is not fair at all!. Taifa linakosa uwakilishi wa watu wazuri kwa ubaguzi wa kijinga kabisa!.

Na katika hili naomba na mimi nijiunge kwenye kukemea hii sumu ya ubaguzi mbaya kabisa ya kuwabagua Wasukuma kwa kisingizio cha Sukuma Gang, na naomba kutamka kama kuna Msukuma yoyote popote ameadhibiwa au kubaguliwa kwa kisingizio ni member wa the Sukuma Gang, then dhambi hiyo ya ubaguzi, itawatafuna wabaguzi hao kupitia kitu kinachoitwa karma!. Karma haina mswalie Mtume wala haijali nani ni nani!.

P
 
Ni Pascal Mayalla ? Huyo pascal uliyemwandika ni mtu mwingine kama yule pasco

Sikujuwa kama na yeye ni sukuma gang. Kwahiyo hiyo siri anayoitabiri mleta mada ni ya sukuma gang?

Wewe ndiye mwenye akili fupi, ungekuwa na akili ndefu usingeambulia kura moja,yako mwenyewe.

Watu wanapoongolea sukuma gang wanaongelea wale wenye tabia kama zako, ndumila kuwili. Au wenye tabia kama za panya, huku unauma huku unapuliza.

Mnajulikana.
 
Kwakweli ! Na hiyo Karma ipo karibu sana sana watu wanaonewa hovyo hovyo tu !!
 
Nasikia sauti ktk moyo wangu ina niambia kuna jambo lasiri sana linaendelea ktk siasa za Tanzania.

Jambo hili hata mimi sijuwi ila yatupasa kuliombea taifa kwa machozi na damu.

Kuna kimya chakutisha sana tena kutoka kwa wenye roho za hili Taifa, kuna giza nene limeikumba nchi na tunaiyona nembo ya taifa tu ikiwakawaka ktk moyo wa Taifa.

Ukimya huu huwezi kuuwona wala kuhisi kama nimwanadam wakawaida. Ila mimi naona nakuwathibitishia kalitafute neno au andiko la mzee yeyote unaye mjuwa mwenye hekima na alie shiba siri za taifa hili. Ukiliona rudi hapa uniambie mm nitapeli.

Kama ni mchezo wa draft basi mchezeshaji wa hii draft atakuwa na nguvu za ajabu maana draft inameza kete na draft inatoa mlio wa ajabu pindi kete zinasukumwa.
Hakuna anaye shituka wala kudhania kesho yaweza ikawa juu chini na chini juu.

Mtikisiko ulio ikumba Dodoma sasa unaenda kuwa mtikisiko mkubwa zaidi kwakuwa serikali inaongozwa kwa siri na wengi hufa na siri zao.

Basi tuliombee taifa. Epuka kuongea au kumsuta mwenzako ukijuwa unaye msuta hujuwi kama vile wewe hakujuwi.

Nawaona wana kijani wanaongea sana nakudhani kuanguka kwa Ndugai ni fursa ila nataka niwaambie huu ndio mwanzo wa utungu.

Yapo mambo hatuyaoni ila sasa yataonekana.

Yapo mambo hatujuwi ila sasa yatajulikana.

Wakati haya yanaendelea mataifa yenye nguvu duniani yanafuwatilia kwa ukaribu kile kinaendelea ktk siasa za Tz.

Pray for Nation. Amen
Ukute ulikua unatabiri kifo cha Simba Bob Junior!
 
Wajinga ndiyo waliwao.
 
Oyaa!!! Acha kuota mchana tangu lini draft likameza kete hebu tupishe hapa tupo busy na mikakati ya KATIBA MPYA

Acha kulialia tupa hilo koti la kijani kamata bango la "KATIBA MPYA" tusonge mpaka kieleweke
Jamaa analeta uzindiki hapa shindwa pepo la kuzimu ....
 
Back
Top Bottom