Natabiri kuna jambo zito sana la siri linaendelea katika siasa za Tanzania

Wafuasi wa mboe/chadema ndio wanao tamani sana nchi ivurugike.

ni kama mafisi inavyo tamani mkono wa binaadamu uanguke ili yautafune.

Chadema, Jengeni utamaduni wa kuipenda nchi yenu, acheni kuiombea nchi mambo mabaya.

Chadema jifunzeni uzaalendo wa kuipenda nchi yenu kama kweli nyinyi ni watanzania, acheni kufuata chuki za Lema na wenzake.

Kwa chuki hizi msitegemee kupata hata mwenyekiti wa Serikali ya mtaa.
 
Wamefanya nn rostam, kinana na JK au kujichulia zambi tuu..??
 
Hakuna cha ndoto wala ruya hapa.
TANZANIA ITAJENGWA NA KULINDWA NA SISI WENYEWE
 
Acha kujipa mizigo kichwani shida kubwa ilikuwa ni mzee wa nyumba kubwa ndo alikuwa kiongoz wa sukumagang saivi kina kiroboto ata hutawasikia tena ni vile alimtanguliza kiroboto na alipoonga hajaulizwa kitu akaona ngoja aingie mwenyewe kichwa kichwa
 
Hiki kifungu cha maneno cha mwishooooo mmmmh
 
Kwa haya yanayoendelea mataifa yenye nguvu duniani yanafuatilia kwa ukaribu kile kinachojili kwenye wigo wa siasa za nchi yetu.

Keep praying each passing seconds in your faith.
Wacha tufike mwisho wa huu wendawazimu wa chama hiki, lazima tutokelezee na KATIBA MPYA, ni jambo ambalo wamebisha ila MUNGU MUWEZA WA YOTE aloshalipitisha ili ujinga udhibitiwe nchii hii iliyogeuzwa shamba la bibi , watu wanavuna matrililioni ya rasilimali zetu, na hakuna kitu wanaogopa, mwisho ni huu,
 
Hawa watu ni wahuni sana, wapuuzi na magenge Yao ya wahuni.... Wengine wakiona wanakaribia kunyanganywa ugali wanaanza kutuambia tuwaombee wakati wanakula wenyewe kila kitu.... Ubinafsi walio nao uwaue wenyewe


Hakuna wa kuwaombea this time
Anakula peke yake. Akitaka kupokonywa tonge anasema tumuombee ili aendelee kula na ndugu zake
 
Hakuna cha siri wala nini. Kuna Sukuma gang, linajulikana. Wanafik watupu kama vile pascal njaa kali.
Kwanza in reality hakuna kundi la Sukuma Gang ambalo lina exist in reality, it's just an imaginary group created na yule mzushi wa Twitter kwa chuki zake dhidi ya JPM, ndio akabuni uzushi huo wa uwepo wa kundi hilo.

2. Japo mimi ni Msukuma lakini siko kwenye kundi lolote la Usukumamaizeshen, siungi mkono ukanda na ukabila wowote, tena ni mimi ndio nililishauri Bunge letu kutafuta ukweli wa tuhuma hii Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.
Na mwisho, akitokea mtu anakupenda kwa dhati, ataendelea tuu kukupenda hata umtukane vipi!, kwasababu anakuwa amekufa, ameoza!, haoni, hasikii!, kwa kifupi ni yuko hoi bin taaban...
P
 
Tafadhari Mshana Jr huko uliko fungua vitabu vya mambo yako na utudadavulie hizi dot..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…