"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

Status
Not open for further replies.
Jifunze kuandika kiswahili.Neno 'UNANAMBIA' halipo kwenye kamusi.

Nani aliyekuambia Tunataka kutawala?Ni nani aliyekuambia kuwa Nyerere alitawala?

Msamehe bure anajua yuko kwenye taarabu huyo bibi! Akafanye kolabo na mwenyekiti wa chama chake hiyo ndiyo kazi wanayoiweza.... Mwenyekiti bingwa wa mipasho, wanachama wake unategemea waweje?
 
Ungeanza wewe kukaa kwenye Mada/uzi badala ya kutoka nje.

Naona umeamua kutumia JF
ili uweze kupata nafasi ya Zitto Kabwe.

Ben akili zako na za Zitto ni tofauti sana. Ni kama usiku na mchana.

Mitindo ya SUMU/TINDIKALI umeacha???

Hivi wewe na Zitto mnafanana kwa huu ujinga wako. Njoo Moshi tukuonyeshe
siasa zinavyofanywa. Sio kila siku unakaa kwenye keyboard na kuandika ujinga.
 
hivi arumeru kwa mzee wetu edwin mtei ni moshi? Mimi au 'mtoto wa mwenge' ndo anachanganya?

mtei ni mkazi wa arusha tatizo la huyu mtoto wa mwandosya amekalili akiona jina la kichaga anajua ni moshi ..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nape,
Hapa Moshi Chadema hawana chao. Wewe tuachie tupambane nao
mpaka mwisho, wala usipate taabu Katibu wangu.

Hata Moshi hawa jamaa hata kuendesha ofisi kunawashinda, maandamano
wataweza. Mkuu kwa nguvu ya vijana 2014/2015 utaona kazi.

Jaffary mwenyewe anapigwa vita sana kisa eti ni Mpare na hana hela
walizo zoea kuhongwa na babu...
acha uwongo wewe! mimi pia ni mwana moshi kwa taarifa tu hapo kwenye RED. Moshi mjini majority wapiga kura wake ni Wapare na Wasambaa kama basi unakuja na sura hiyo ya ukabila. Hao unaowaita wachaga unaowaona wanakuja kila siku kutoka Kibosho,Boma, marangu, mkuu na kwingineko asubuhi kufanya biashara na jioni wanarudi! zunguka moshi uimalize mkuu. kiborloni wanapigia kura jimbo la Vunjo kwa taarifa yako, hivyo hivyo KCMC, Maili sita, shant town nk. Kura za Moshi zipo Majengo, Pasua, soweto nk
 
Twende church tukasali Nape... Tuna siku sita za kupiga siasa kwa wiki...
Hapo alipo hamjui babaake atalijuaje kanisani...,Nape atakuwa alishafanya MC uswahilini,ule mdomo sio wa kawaida..
 
Ukitoka kwenye mjadala wa katiba itakuwa ni kwaajili ya akili ndogo tu sio kwa hoja hii! Kila lakheri wote mnaoamini sheria inabadilishwa au kurekebishwa barabarani. Karibuni bungeni ambapo watanzania waliamua 74% wawe wabunge wa CCM!

Hivi nepi utaacha lini unafiki? Kwanza acha kusingizia eti wa Tanzania waliamuwa 74% wawe wabunge wa ccm wakati kura mnaiba.pili acha unafiki, wewe ni muongo, fisadi na mbeya .kwa taarifa yakoaandamano ni haki kikatiba..na kama unavyoongea na dharau mbona mkisikia maandamano presha zinawapanda.muone kwanza tumbo kubwa kama tinga tinga.nepi wewe ni mzigo na janga kubwa kwa taifa.
 
Ona huyu kilaza mwingine huku.... Ha hahahahah.... Labda kama unazungumzia moshi ya bagamoyo, lakini moshi ya kilimanjaro ninayoijua mimi huyo mbunge wa ccm labda ashinde na njaa ! Tena ukome kutusingizia vijana wa moshi... Inahitati akili ya maiti kuipigia kura ccm, moshi hakuna mwenye akili ya maiti kama hiyo yako!

Kwani na wewe ni kijana??? teh teh teh.

Umeacha zile tabia zako za pasua????
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"
Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!
Hongera sana kwa kutimiza wajibu wako kama katibu kivuli wa itkadi na uenezi wa CHADEMA!
 
Naona umeamua kutumia JF
ili uweze kupata nafasi ya Zitto Kabwe.

Ben akili zako na za Zitto ni tofauti sana. Ni kama usiku na mchana.

Mitindo ya SUMU/TINDIKALI umeacha???

Hivi wewe na Zitto mnafanana kwa huu ujinga wako. Njoo Moshi tukuonyeshe
siasa zinavyofanywa. Sio kila siku unakaa kwenye keyboard na kuandika ujinga.

Wewe kama umemzimikia Ben weka wazi , naona unamfuatafuata sana, ana mchumba huyo hivyo acha kumrembulia macho! Wewe endelea kumrembulia huyo mjinga mwenzio nape, kamanda wetu muache kabisaaaaa! Afu hayo ya zitto kabwe ungeanzisha uzi wako unaojitegemea utuambie unataka nini hapa hatukupati vizuri unakatikakatika sana!
 
Mwezi April mlinitisha nisije Moshi mkaenda kwenye ziara ya Chama chako Rombo,Nikaja na nikawajeruhi vya kutosha.Ile ni rasha rasha tu.Huna ubavu wa kukabiliana nami iwe kwenye Keyboard, Jukwaani au Studio kwenye midahalo.Muulize Katibu wako wa Itikadi na Uenezi.

Yupo hapa ukweli anaujua!
 
Wewe kama umemzimikia Ben weka wazi , naona unamfuatafuata sana, ana mchumba huyo hivyo acha kumrembulia macho! Wewe endelea kumrembulia huyo mjinga mwenzio nape, kamanda wetu muache kabisaaaaa! Afu hayo ya zitto kabwe ungeanzisha uzi wako unaojitegemea utuambie unataka nini hapa hatukupati vizuri unakatikakatika sana!

Thanks sweetlady!
 
Last edited by a moderator:
Kwani na wewe ni kijana??? teh teh teh.

Umeacha zile tabia zako za pasua????

Kama jk yuko over 60 lakini bado anaitwa rais kijana itakuwaje kwa mimi ambae niko under 30???

Tuambie unazungumzia moshi ipi hapa? Muongo mkubwa wewe... Unamdanganya katibu wako mchana kweupe hivi?
 
Nepi alizaliwa kwenye mkesha wa kile kibayari cha magamba. Nepi ni mchumia yumbo.
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"
Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!
​eti form foo ulipata foo ya point 29??...ni kweli Bwana Nepi Nauye??....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom