Watu kama nyinyi ndo unatufanya wengne tuonekane mabazazi tusio na utu! Any way hongera wewe ni ndoto ya wazazi wengi hasa wenyd watoto wa kike ambao wanatolewa bikra zote mbili hata kama hawajafika miaka 18.
kikubwa nikua sinaplan ya kumuoa na yeye anajua ntamuoa. Nilivyomuapproach nilijua ni girl ambae tutakua pamoja kwa kipindi flani then tutaachana, but kwake ni toafauti. So nimeamua nimpe sababu ya tofauti ya dini angalau aelewe
Hahahah. Wewe huyo? Bora lawama, kijana kachukua uamuzi sahihiyaani ndoa umemnyima na kumgegeda umemtosa?... bora ungempa kimoja mchoyo wewee
kikubwa nikua sinaplan ya kumuoa na yeye anajua ntamuoa. Nilivyomuapproach nilijua ni girl ambae tutakua pamoja kwa kipindi flani then tutaachana, but kwake ni toafauti. So nimeamua nimpe sababu ya tofauti ya dini angalau aelewe
Bikira zipo tena original kama wewe ya kwako uliigawa kabla ya kuolewa shame on you.Ulipaswa kumtunzia mmeo na si vinginevyo hivyo usiwakejeli walio nazo.Bikira zipo tena hata kwa wadada waliomaliza University. Kama amelelewa kwa malezi yanayompendeza bwana lazima bikira iwepo.
mkuu bikira mbili za wapi na wapi?
Bikira zipo tena original kama wewe ya kwako uliigawa kabla ya kuolewa shame on you.Ulipaswa kumtunzia mmeo na si vinginevyo hivyo usiwakejeli walio nazo.Bikira zipo tena hata kwa wadada waliomaliza University. Kama amelelewa kwa malezi yanayompendeza bwana lazima bikira iwepo.
dini ndo sbb?
huukumpenda, ndo ulikuwa unajifunza umpennda!
habari zenu wa mmu. Leo nimefanya maamuzi mazito kabisa. Ni hivi mimi nina mpenzi wangu ambae tuna muda wa miezi 6 tangu tumekua pamoja japo muda 80 percent ya mapenzi yetu yalikua kwa njia ya mawasiliano, as kwanza tulikua mikoa tofauti na nilivyokuja dar yeye yupo dar hii lakini ni geti kali na anasoma chuo cha MAGOGONi. Tatizo ni kuwa yeye ananipenda sana na kila siku anaongelea swala la kuoana, wakati me sijamfikiria kumuoa. Kikubwa zaidi yeye ni bikra na uzuri hatujawahi kusex bt tulipanga siku za karibuni. Nimeamua kumwambia ukweli kuwa sitaweza kumuoa kwa vile yeye na mimi tuko dini tofauti, amelia sana but me nimeona ni bora kuliko ningemwambia baada ya kusex nae. Wadau nimefanya uamuzi sahihi au nimekosea?
Ni bikira bwana.......kwani ile ya ndimu wewe unaiitaje........?