nasikitika, lakini sikuwa na jinsi

nasikitika, lakini sikuwa na jinsi

Akuanani,wanaume 'nyoko' yaani anavyokuja kwako akili yake imeshapanga ww wa kuzugia,with tym anakumwaga!halafu wenyew tunavyojuaga kufall masikini!
...bora ht umemuacha na bikira yake mtt wa watu

sasa na wewe unasubiria wa kukwambia akuoe?
 
sasa na wewe unasubiria wa kukwambia akuoe?
.......unafikiri km ww huwezi ni wote?...u a wrong my frnd wapo ambao wanaelewa nn wanafanya kwny mahusiano, sio wote wapigaji tu.......na ofcoz im occupied
 
Lol... Hivi unajua maana ya fursa(opportunity) kuitumia?nina wasiwasi na jinsia yako mkuu kwa sababu maana ya urijali sijauona hapo!!tindua piga chata weka muhuri tambaa...historia ya maisha already made!!halafu nina wasiwasi niko nae dini moja hembu ni PM namba yake nmfariji kidogo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Thread yooootee!! Hapo kwenye "Bikra", ndo kumeniacha hoi!! ulijuaje ana bikra?! ulipimia kipimo gani?! barometer au?!
 
Jaman mim naona sasa ifike wakati watu mkue angalia na topic za kuleta humu jamvini za kutaka ushaur,hichi ni kituko,sijuw ndo nin sasa,kwani wakat mnaanza mahusiano hukujuwa ya kwamb mwenzako ni dini nyingine?
Hawa ndo wanaume wa karne hizi aibu tupu,ukiwa hvi utakuwa mwanaume dhaifu na -----
 
Gia za ndoa zinawaumiza sana wanawake...
ukimtajia neno. "Nitakuoa " mda huo huo pichu iko magotini.. shame!
 
Vipi akikubali kubadilisha dini?
 
miezi miwili now toka niamue, i am happy that now nimekua na amani, nae japo aliumia nadhani now amenielewa:smile-big:
 
habari zenu wa mmu. Leo nimefanya maamuzi mazito kabisa. Ni hivi mimi nina mpenzi wangu ambae tuna muda wa miezi 6 tangu tumekua pamoja japo muda 80 percent ya mapenzi yetu yalikua kwa njia ya mawasiliano, as kwanza tulikua mikoa tofauti na nilivyokuja dar yeye yupo dar hii lakini ni geti kali na anasoma chuo cha MAGOGONi. Tatizo ni kuwa yeye ananipenda sana na kila siku anaongelea swala la kuoana, wakati me sijamfikiria kumuoa. Kikubwa zaidi yeye ni bikra na uzuri hatujawahi kusex bt tulipanga siku za karibuni. Nimeamua kumwambia ukweli kuwa sitaweza kumuoa kwa vile yeye na mimi tuko dini tofauti, amelia sana but me nimeona ni bora kuliko ningemwambia baada ya kusex nae. Wadau nimefanya uamuzi sahihi au nimekosea?
mwanangu umefanya poa sana! ila mu advice asiwe desperate kiasi kwamba aje ammpe bikra yeyote atakae kuja After you!
 
Nimekumuka sana huu uzi niliouanzishaga kipindi flani. Japo sikutoa mrejesho ngoja niwaambie leo kilichotokea yule binti nilimwambia ukweli kuwa for now siwezi kuwa nae tena nilitumia mda mrefu hadi kumweleza ukweli huo alikasirika sana. Me lengo langu lilikua ni kumfanya rafiki, mwenzangu akakasirika kiasi kwamba hadi sasa hajibu sms zangu na hapokei simu kabisa.
 
Back
Top Bottom