Preta umefanya maji niliyokuwa nakunywa hapa yanipalie duhNi bikira bwana.......kwani ile ya ndimu wewe unaiitaje........?
hongera kaka hii kitu nilikutananayo Arusha kuna dada mmoja nilijuanaye mwaka 2008 wakati naenda chuo tukawa tunachat hadi mwaka jana aliniambia ukweli kuwa yeye ni virgin nikamwambia cna mpango wa kumwoa kuliko nije nikuharibu wakati muda wote umejitunza na umevumilia hivyo kuanzia hapo tukawa marafiki wa kawaida hadi leo pamoja na kuwa aliumia sana lakini bora umwambie ukweli kuliko umwaribie.hujakosea
^^
Safi sana..una elfu kumi hapo unipe halafu nikupe elfu tano!
^^
habari zenu wa mmu. Leo nimefanya maamuzi mazito kabisa. Ni hivi mimi nina mpenzi wangu ambae tuna muda wa miezi 6 tangu tumekua pamoja japo muda 80 percent ya mapenzi yetu yalikua kwa njia ya mawasiliano, as kwanza tulikua mikoa tofauti na nilivyokuja dar yeye yupo dar hii lakini ni geti kali na anasoma chuo cha MAGOGONi. Tatizo ni kuwa yeye ananipenda sana na kila siku anaongelea swala la kuoana, wakati me sijamfikiria kumuoa. Kikubwa zaidi yeye ni bikra na uzuri hatujawahi kusex bt tulipanga siku za karibuni. Nimeamua kumwambia ukweli kuwa sitaweza kumuoa kwa vile yeye na mimi tuko dini tofauti, amelia sana but me nimeona ni bora kuliko ningemwambia baada ya kusex nae. Wadau nimefanya uamuzi sahihi au nimekosea?
yaani ndoa umemnyima na kumgegeda umemtosa?... bora ungempa kimoja mchoyo wewee
kikubwa nikua sinaplan ya kumuoa na yeye anajua ntamuoa. Nilivyomuapproach nilijua ni girl ambae tutakua pamoja kwa kipindi flani then tutaachana, but kwake ni toafauti. So nimeamua nimpe sababu ya tofauti ya dini angalau aelewe
Mi kwa kweli ningemgegeda.
iv kwa nin mabinti kwenye mahusiono wanatanguliza ndoa?? sio kila mahusiano mfikie kwenye ndoa, mengine ni ya kurambana sukari tuuu. girls u shld know that c kila mahusiano ni ndoa!!!!
Kwanini ulimtongoza wakati unajua huwezi kuoa mtu wa dini tofauti na wewe? Wewe ndio umekosea toka mwanzo.
Mimi inabidi nikuite ndg yangu maana umefanya kama ulivyoyaita maamuzi magumu.Nitajitahidi kuendeleza pale uliposhindwa.
Akuanani,wanaume 'nyoko' yaani anavyokuja kwako akili yake imeshapanga ww wa kuzugia,with tym anakumwaga!halafu wenyew tunavyojuaga kufall masikini!
...bora ht umemuacha na bikira yake mtt wa watu
Still loading....