nasikitika, lakini sikuwa na jinsi

nasikitika, lakini sikuwa na jinsi

Uliwahi kuzungumza nae kuhusu utofauti wa dini zenu? Labda angekuwa radhi kubadili je? Sijaona kama hicho ni kigezo cha kumuacha kaka, kubali tu hukumpenda dada wa Magogoni. Una complicate tu kiongozi hapa, mngekaa mkaongea, kwanini msioane na kila mtu abaki na dini yake? MTENGWA HUKUMPENDA HUYO DADA FULLSTOP!
kisha watoto watalea katika imani ipi?
 
mfano tungekwambia umekosea utamrudia?
ila big up uamuz wa busara.

me nimemwambia ukweli huo aamue, kama ataendelea kuwa na mimi as lovers bt sitamuoa am ready, kama akiona sio poa, tunaweza kuendelea na urafiki as before
 
Aiseeee.. anaitwa nani?
Anaishi wapi?
 
Siwezi kumtaja jina but anakaa Kimara Bunyokwa

Nitatembelea huko labda na mimi naweza kupata bahati kama yako..Yaani mtoto hajaguswa!!
Halafu ..daah.."speechless"
 
Na uamuzi sahihi ,next time usisubiri a fall ndio umwambie,Huyu atakua ameumia kwa hakika,ingawa maumivu haya ni afadhali ukilinganisha na endapo hazina yake ungeshaihudhuria.

asante, me nilimtokea niwe nae kama demu wa kuzugia, lakini yeye akafall kabisa. Nilitaka nimege nikijua kuna muda tutaachana. Lakini kila siku zinavyoenda nagundua kua mwenzangu amedhamiria mimi kumuoa na ananiambia mambo ya kumuoa kila siku. Just imagine me nimemaliza chuo ths year, yeye kaanza diploma juzi kati tu, anataka aje kwetu, na me nikajitambulishe kwao alafu yuko serious, nikaona huyu mbeleni ataniletea lawama au matatizo bora nimpe ukweli kabla hatujafanya chochote aamue
 
Nitatembelea huko labda na mimi naweza kupata bahati kama yako..Yaani mtoto hajaguswa!!
Halafu ..daah.."speechless"

sio kwamba nimemuacha hapana nimemwambia ukweli, yeye mwenyewe aamue, hata me natamani nimtoe bikra but hadi akiridhia
 
ungekula mzigo mkuu...kwan wote si mnaenjoyyy?...na hamna mtu anapoteza kitu

hahaha...ni kweli kabisa, bt yeye kalelewa familia ya kiimani zaidi ya kiislamu, hata kupanga kusex nilimforce akakubali akiamini kuwa nitamuoa. Angekua demu mwingine ningegonga bila kujali but me nimeogopa
1. Anamatatizo ya presha na alcers
2. Anaweza kujiua
3. Anasoma naweza kumuharibia masomo.
 
Maamuzi ya pili ya kumuacha bila kumuumiza zaidi ni mazuri sana ila tatizo maamzi ya kwanza wakati unamtongoza ulikosea sana kwani maumivu aliyo nayo ni makosa ya mwanzo! si vibaya ila ujue umempotezea muda sana kuna watu aliwakataa kwa ajili yako!
 
Wanaume wachache wenye moyo ka wako!! Werevu watakupngza!!mafisi utawaonaa!! Endelea na moyo huohuo!! Upo sahihi!!
 
Naomba namba yake ya simu japo na mim nipate kutoa bikira
 
Maamuzi ya pili ya kumuacha bila kumuumiza zaidi ni mazuri sana ila tatizo maamzi ya kwanza wakati unamtongoza ulikosea sana kwani maumivu aliyo nayo ni makosa ya mwanzo! si vibaya ila ujue umempotezea muda sana kuna watu aliwakataa kwa ajili yako!

ni kweli kabisa kaka, maamuzi ya kwanza ilikua ni kuwa nae kwa kipindi flani bt sikuwaza kama ndo atakua wife, naona yeye amesha waza mimi kuwa hubby wake. Ndo utata unapoanzia hapo
 
Safi sana,atalia ila with time machungu yataisha,kuliko ungeendelea nae kinafiki
 
Wakati unamwimbiha kwa mitari mizurii mpaka akakufall hukujua tofauti ya dini?
 
bikra kabisaaaa..na ukaiacha labda ya sehemu nyngne aiseee
 
Wakati unamwimbiha kwa mitari mizurii mpaka akakufall hukujua tofauti ya dini?

kikubwa nikua sinaplan ya kumuoa na yeye anajua ntamuoa. Nilivyomuapproach nilijua ni girl ambae tutakua pamoja kwa kipindi flani then tutaachana, but kwake ni toafauti. So nimeamua nimpe sababu ya tofauti ya dini angalau aelewe
 
vipi rafki kua tu muwazii huyo alshabaab ana mvutooo?ni mzuri sanaa?
 
Back
Top Bottom