HUSSEN KAMBI
Senior Member
- Dec 4, 2023
- 175
- 212
Kwanza nianze kumuombea dua Mungu amlipe kutokana na matendo yake mimi binafsi sikatai alikua na ubaya lakini na uzuri alikua nao miongoni mwa mabaya katika utawala wake.
Kwanza alikua mtemi kwa wana siasa na matajiri, pia matajiri wengi kwenye utawala wake walikua wanapewa sana Kessy za uhujumu uchumi, wana siasa wengi walikua wanapewa kessy za uchochezi, kiujumla halikua apendi kukosolewa, kwenye utawala wake likazuka kundi la watu wasio julikana haya mambo nilio ya taja yaliofanyika kwenye utawala wake hata mimi hilipelekea ni mchukie.
Hayo yalikua ni sehemu ya mabaya yake, na ikasababisha hata mazuri yake machache haliokua nayo nisi yaone, moja ya mazuri yake halikua akisema mradi huu mpaka mda fulani hue umekamilika na inakua kweli inakua hivyo, lingine halikua na ma amuzi yakutaka sifa lakini yalikua na faida kwa mtu wa hali ya chini mfano anaweza ku uliza nimtumbue nisi mtumbue watu wakisema mtumbue basi kweli anamtumbua kama hilivyokua kwa marehemu wilsoni kabwe.
Haya ma amuzi pamoja yalikua ya sifa lakini yalipelekea viongozi wengi wa ngazi ya chini kutojiona miungu watu kama hilivyo sasa, kila kiongozi anafanya vile anavyotaka yeye utafikiri nchi haina mkubwa, sasa hivi anaweza akatokea tajiri anamuambia waziri wa maji mimi nina mradi wangu wa uchimbaji visima, lakini wateja hakuna kwasababu maji mabombani yanatoka.
Kwahio mh waziri mm nitakupa hela kidogo hili huwa agize watu wa chini yako, wakate maji hata mwezi hili watu waone umuhimu wakuchimba visima, waziri anamkubaria, tajiri anaweza kumuambia waziri wa nishati mh waziri nina mradi wangu wa majenereta, lakini watu hawa nunui nina sheli lakini mafuta siuzi wateja hakuna nina solar lakini wateja sipati, na haya kwasababu umeme haukatiki, kwahio nitakupa mzigo kidogo hili.
Huwa ambie watu wa chini yako, watengeneze mgao wa kimagumashi, hili watu wajue umuhimu wakua na majenereta pamoja na solar, mambo haya utawala wa marehemu yalikua hayapo, lakini utawala wa sasa haya ndio yanayofanyika, hayo ni sehemu ya mazuri ya yule mjomba, utawala wake miradi mingi halianzisha na yote hili kamilika kwa wakati, tofauti na hilivyo sasa zuri lake jingine huyu marehemu kila likitokea jambo linalo husu taifa.
Lazima atalitolea ufafanuzi haijalishi utaridhika na ufafanuzi wake au vp halikua na ma amuzi ya haraka lakini mengi yalikua na faida kwa watu wa hali ya chini, na maumivu kwa matajiri na wana siasa, nina uhakika usiokua na shaka kama mpaka leo angekua hai, basi nina uhakika kwa tabu tunayo ipata kuhusu maji.
Basi jumaa awesu leo hii asingekua ofisini wa na kuhusu umeme tabu tunayo ipata kuhusu umeme nina uhakika waziri nishati asingekuwepo ofisini mpaka leo hayo ni baadhi ya machache mazuri katika utawala wake yeye kiongozi akikosea hilikua asemi na hili mkalitazame yy alikua anachukua hatua hapo hapo, tofauti na sasa raia wa hali ya chini.
Tumekua kama yatima, hatuna anaetusemea kwahio mazuri halikua nayo mabaya pia halikua nayo baya ambalo halito sahaulika ni kutuwekea watu wa wasio jitambua bungeni halmashauri na kwenye mabaraza ya kata, kuturejeshea mfumo wa chama kimoja, kwahio pamoja na ubaya aliokua nao na uzuri pia halikua nao.
Huo ndio ukweli kwa haya nilio andika najua kuna watu, wanaompenda, sana, watakubariana na mimi kwenye mazuri hila kwenye ubaya watanipinga, na kwa wale wanaomchukia sana watakubariana na mimi kwenye ubaya kwenye mazuri watanipinga, na wale wenye kukubaliana na ukweli watanikubalia kwa yote niliosema, na wale wenye kukataa ukweli watanipinga kwa yote niliosema.
Ahsanteni sana kama kuna sehemu nimekosea basi nisameheni mimi bina adamu kukosea ni sehemu ya ukamilifu wa ubinadamu.