Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
dozen and dozen!Ndo ushauri ulokua nao? Ww ushagegedwa na wangapi?
dozen and dozen!Ndo ushauri ulokua nao? Ww ushagegedwa na wangapi?
Bikira zipo tena original kama wewe ya kwako uliigawa kabla ya kuolewa shame on you.Ulipaswa kumtunzia mmeo na si vinginevyo hivyo usiwakejeli walio nazo.Bikira zipo tena hata kwa wadada waliomaliza University. Kama amelelewa kwa malezi yanayompendeza bwana lazima bikira iwepo.
Umefanya maamuzi mazuri sana kijana nakupa HONGERA kwa hilo!!
we ulikua unataka kula mzigo usepe sa umebaniwa kwa condition mpk marriage umeona bora usepe..! ni vizur kwa uamuzi uliouchukua mkuu.
Watu kama nyinyi ndo unatufanya wengne tuonekane mabazazi tusio na utu! Any way hongera wewe ni ndoto ya wazazi wengi hasa wenyd watoto wa kike ambao wanatolewa bikra zote mbili hata kama hawajafika miaka 18.
^^
Safi sana..una elfu kumi hapo unipe halafu nikupe elfu tano!
^^
samahani swali dogo.."umejuaje kuwa ni bikra" wakati 80% mlikuwa mnawasiliana through phone?
Mpo wachache sana kwenye Dunia hii wenye Busara kama zako,Hongera sana mkuu * Umeacha kuitawanya Bikra hiyo duh vitu adimu sana hivyo mi naelekea kuzeeka nilisha kutana na 3 tu
Uliwahi kuzungumza nae kuhusu utofauti wa dini zenu? Labda angekuwa radhi kubadili je? Sijaona kama hicho ni kigezo cha kumuacha kaka, kubali tu hukumpenda dada wa Magogoni. Una complicate tu kiongozi hapa, mngekaa mkaongea, kwanini msioane na kila mtu abaki na dini yake? MTENGWA HUKUMPENDA HUYO DADA FULLSTOP!
Excellent
Umefanya uamuzi sahihi sana na ninakupongeza. Ila kama huna mpango wa kumuoa na kweli kama ni bikra ni bora usiharibu bikra yake. Mueleweshe kuwa hiyo ni hazina na ingependeza kuitoa na mtu ambaye angalao ana matumaini ya kumuoa. Ila pia dini ni kitu mnahofia sana au? Kuna ndoa za dini mseto siku hizi, kila mtu anabaki na dini yake!!! Na kama unampenda mtu kwa dhati masuala ya dini yanakuwa pembeni kabisa. Tafakari, amua, chukua hatua.
^^
Safi sana..una elfu kumi hapo unipe halafu nikupe elfu tano!
^^