msovero
JF-Expert Member
- Jun 30, 2019
- 913
- 1,730
Nature ya familia zetu ndo chanzo cha haya yote, unakuta wewe ndio tegemeo pekee ktk familia wakati huo huna kitu sasa ikitokea umepigiwa simu na watu wa nyumbani kabla ya kupokea unaanza kuwaza kumetokea nini either kuna tatizo linahitaji utatuzi wa kifedha au matatizo ya msiba n.k
Sasa ili uondokane na tatizo kama hili kwanza kabisa unatakiwa kupunguza msongo wa mawazo. Pili, jitahidi kuwasiliana na ndugu mara kwa mara siyo wakati wa shida tu hii itakusaidia kuondoa hofu ya kimawazo hasa pale unapopigiwa simu na ndugu wa karibu. Tatu, ni kuwa tayari kufungua moyo na kujiandaa kisaikolojia hii itakusaidia kuongeza ujasiri wa kupokea taarifa yoyote bila kujari uzito wake. Nne, jitahidi kuwa na desturi ya kunywa maji mengi yatakusaidia kukabiliana na maradhi ya moyo pamoja na shinikizo la damu usipuuze maji ni tiba. Tano, jitahidi kujichanganya na marafiki don't stay idle alone hii itakusaidia kupunguza msongo wa mawazo na stress za hapa na pale.