Prince Mujubu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 340
- 249
- Thread starter
- #41
sijakopa mahali popote mkuuLipa madeni utakua free

Usitumie simu.Unaijua hiyo mkuu, Which precautions may i take?
Asante.duh...pole rafiki
Asante japokuwa ni vigumu ila ntajaribu.Usitumie simu.
hudaiwi mkuu?Asalam.
Wakuu tatizo langu nashtuka sana na ringtone ya simu yangu,yaan nikiskia tu imeita mi roho juu nashtuka hadi nahisi naweza kupata cardiac arrest baadae.
Nimejaribu kujikaza kwa muda lakini nimeshindwa,hapa nilipo simu yangu iko silent mode for the last few months lakini hili jambo bado tu linanitesa naweza sikia hata kwa simu ya mtu tofauti na yangu.
Naombeni msaada wenu wakuu nifanye nini kuepuka hili janga mtu unaweza kupotea hivihivi kizembe kabisa.![]()
Sina deni mkuu ila nakua na hofu tu sijui inatoka wap?hudaiwi mkuu?
Hakuna kitu wala mtu anayenidaiAu unadaiwa na tala
Pepo hilo la hofu, mpe Yesu maisha yako utaona wokovu wake.Asalam.
Wakuu tatizo langu nashtuka sana na ringtone ya simu yangu,yaan nikiskia tu imeita mi roho juu nashtuka hadi nahisi naweza kupata cardiac arrest baadae.
Nimejaribu kujikaza kwa muda lakini nimeshindwa,hapa nilipo simu yangu iko silent mode for the last few months lakini hili jambo bado tu linanitesa naweza sikia hata kwa simu ya mtu tofauti na yangu.
Naombeni msaada wenu wakuu nifanye nini kuepuka hili janga mtu unaweza kupotea hivihivi kizembe kabisa.![]()
Kila nikiona hiyo avatar yako nashtuka sana mama la mama.Asante.
Kwanini baba la baba?Kila nikiona hiyo avatar yako nashtuka sana mama la mama.
AsantePepo hilo la hofu, mpe Yesu maisha yako utaona wokovu wake.
Sawa mkuu ntajaribu kutafta ringtone ya blues au country music maana hz nyingne nshabadr sanaTafuta ringtone ya nyimbo unayo ipenda,alafu isiwe nyimbo iliyo changania sana,unaweza hata kuingia waptrick ukatafuta nyimbo ya country nzuri utaona options ukitaka kudownload,chagua ringtones, alafu toa vibration kabisa kama ipo.
Suffering the same shit...ila nimegungua ni kwa ajili ya kuishi kwa hofu na wasiwasi.Asalam.
Wakuu tatizo langu nashtuka sana na ringtone ya simu yangu,yaan nikiskia tu imeita mi roho juu nashtuka hadi nahisi naweza kupata cardiac arrest baadae.
Nimejaribu kujikaza kwa muda lakini nimeshindwa,hapa nilipo simu yangu iko silent mode for the last few months lakini hili jambo bado tu linanitesa naweza sikia hata kwa simu ya mtu tofauti na yangu.
Naombeni msaada wenu wakuu nifanye nini kuepuka hili janga mtu unaweza kupotea hivihivi kizembe kabisa.![]()
Sio masihara tatizo wabongo ndo hilo mtu ana matatizo and your making fun of them
Unaongea km MwlHuenda una hofu fulan..au una majanga mengi...pole sana