Prince Mujubu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 340
- 249
- Thread starter
- #21
Hahahaha sijakopa mahali mkuu naogopa madeni kuliko kitu kinginePunguza kukopa mkuu... madeni yatakuua..
Hahahaha sijakopa mahali mkuu naogopa madeni kuliko kitu kinginePunguza kukopa mkuu... madeni yatakuua..
Hata mimi mkuu sikuhizi sipendi kabisa hata kuisikia simu yangu ikiwa inaita kabisa.. na huwa inanishtua pia.. ila sababu zake nazifahamu..Hahahaha sijakopa mahali mkuu naogopa madeni kuliko kitu kingine
Duh!! Ila mbona stress zipo tu na hali Kama hii haikuwah kutokea beforeNdio hzohzo stress zinakuchanganya
Unaamua tu na unasimamia maamuzi yakoThanks mkuu kuzima simu for three days?huo mtihani mkubwa ntajaribu lakini.
😨😨😨😨😨Telephonophobia....
Mkuu hiyo imekaaje napata shida sanaTelephonophobia....
Sina deni mkuu kitu naogopa ni madeniLipa tu deni la watu..mshtuko utaacha
Dalili za pressure, nilikuwa na hilo tatizo, dr alinishauri nisiweke mlio kwenye simu, ni zaidi ya miaka 3 sijui milio ya simu ikoje, nakasirikaga tu nikiwa kwenye dala dala manake kuna simu za kichina milio yake acha kabisaAsalam.
Wakuu tatizo langu nashtuka sana na ringtone ya simu yangu,yaan nikiskia tu imeita mi roho juu nashtuka hadi nahisi naweza kupata cardiac arrest baadae.Nimejaribu kujikaza kwa muda lakini nimeshindwa,hapa nilipo simu yangu iko silent mode for the last few months lakini hili jambo bado tu linanitesa naweza sikia hata kwa simu ya mtu tofauti na yangu.
Naombeni msaada wenu wakuu nifanye nini kuepuka hili janga mtu unaweza kupotea hivihivi kizembe kabisa.![]()
Huenda uko sahihi but where i work there is no such thing kumuogopa boss that's why i love my jobHunawakika na ajira yako au pengine unamuogopa Sana bosi wako kwahyo kila simu ikiita unajuwa ni boss anaenda kukinukisha.
Hizi majanga mkuu ila ndo hvo kazi zinatubana inabd tu uwe hewani na hajalishi weekend wala skukuuHata mimi mkuu sikuhizi sipendi kabisa hata kuisikia simu yangu ikiwa inaita kabisa.. na huwa inanishtua pia.. ila sababu zake nazifahamu..
Sina deni mkuu kitu naogopa ni madeni
Sio masihara tatizo wabongo ndo hilo mtu ana matatizo and your making fun of themHiyo Sim ni yawizi sasa kila ukipigiwa unajua tayari ume kamatwa Hahaaa, hasara za kununua Sim za mtaani.
usitumie simu. tumia sanduku la posta. kama bado lipoAsalam.
Wakuu tatizo langu nashtuka sana na ringtone ya simu yangu,yaan nikiskia tu imeita mi roho juu nashtuka hadi nahisi naweza kupata cardiac arrest baadae.
Nimejaribu kujikaza kwa muda lakini nimeshindwa,hapa nilipo simu yangu iko silent mode for the last few months lakini hili jambo bado tu linanitesa naweza sikia hata kwa simu ya mtu tofauti na yangu.
Naombeni msaada wenu wakuu nifanye nini kuepuka hili janga mtu unaweza kupotea hivihivi kizembe kabisa.![]()
Nilishawahi kupatwa na situation Kama hiyo. Iliisha yenyewe