Nashindwa kuwaamini wanaume

Nashindwa kuwaamini wanaume

Well, lemme let you in on a little secret, you can only trust if only you're trustworthy yourself. That's what i've learned in my adventures.

Keep learning, ila ndio hivyo, mwanaume sio wa kumuamini kabisaaaaa!
 
It takes two to tangle. ...mara nyingi anayeachwa ana mapungufu. ..mwanamme gani atayemwacha wife material mbichi 24yrs
 
humu kweli siku hizi kumejaa watoto.....mwanamke kapitia 3 relationships anaitwa 'malaya'???!!!!

Aisee.......kuna mambo humu.......
btw.....habari za w/end.........?.......
 
Aisee.......kuna mambo humu.......
btw.....habari za w/end.........?.......

weekend ndio imeisha,nimeitumia vizuri nimelala siku nzima....wiki naianza so fresh!
 
Wanaume karibu wote ndiyo tuko hivyo hasa ni kwasababu nyinyi wenyewe mnataka tuwe hivyo.
 
kwa nini wadada wengi wanapenda kusema wanapotezewa muda? hebu nisaidie
 
Mimi huwa navumilia sana na nnapoona maji yamenifika shingoni huwa naamua kujiondoa
Na maybe tatizo langu kubwa panapotokea mikwaruzano katika kuisolve mimi huwa siwezi kulumbana hivo unakuta anachokieleza inabid nikubal na hata kama najua nadanganywa nkiuliza sana unakuta mtu anaanza kuongea kwa jazba hivo naamua tu kukaa kimya
Sometimes huwa nahic pia upole wangu ndo unachangia wao kuchukulia easy na kurudia yaleyale most of the time
 
hello.
kama unavumilia na unanyamaza ni vizuri lakini, unachosema unaogopa au wanaume ni wadanganyifu, wanachokudanganya ni nini hasa
unachokitaka kwao ambacho umekikosa kwa wanaume wa3? they say it; once beaten, twice shy!
 
weekend ndio imeisha,nimeitumia vizuri nimelala siku nzima....wiki naianza so fresh!

Same here..........ila ijumaa na jumamosi nilitumia muda ipasavyo..........
napenda sana w/end.........iwe mvua iwe jua.........
 
Mimi huwa navumilia sana na nnapoona maji yamenifika shingoni huwa naamua kujiondoa
Na maybe tatizo langu kubwa panapotokea mikwaruzano katika kuisolve mimi huwa siwezi kulumbana hivo unakuta anachokieleza inabid nikubal na hata kama najua nadanganywa nkiuliza sana unakuta mtu anaanza kuongea kwa jazba hivo naamua tu kukaa kimya
Sometimes huwa nahic pia upole wangu ndo unachangia wao kuchukulia easy na kurudia yaleyale most of the time

Kuwa mpole wa kiasi, ila usiwe zuzu. Unatakiwa ujishushe yes, basi usimruhusu mtu akuburuze. Sasa unadanganywa lakini unashindwa hata kuongea, kisa upole?
 
Habari za jumapili wana JF.

Mimi ni msichana mwenye 24+ na nimepitia relation tatu mpaka hapa nilipo .

Tatizo katika hizo relation zote nimeishia kuumizwa. Hii hali imenipelekea kutokuwa na imani kabisa na men.

Umefikia hatua hata wale wanaojitokeza kuhisi ni walewale wadanganyifu.

Kiukwel naogopa sana kuingia katika relation na nimekuwa mwoga na sielew huu uoga utaisha lini.

Asanteni.

Niliwahi kumsoma mwanasaikolojia mmoja alisema "kama tatizo linalokukuta ni moja lakini kwa watu tofauti basi wewe ndio tatizo"
Ulivyoelezea relationship tatu...inawezekana umepunguza jitasmini wewe ndio tatizo labda tu kama hamkuwa serius kwenye hayo mahusiano yenu
 
Dada pole sana kwa uliyopitia. Bado unayonafasi....
Nahisi namna nzuri ya kuanza upya nikutafuta marafiki sio mume. Kutoka kwenye urafiki utaweza kuona anayeweza Kuwa mume.
Katika urafiki huwa ni rahisi kuonesha msimamo wako kwa mwanamme hasa kama humtegemei yeye ili kuendesha maisha yako.
kama unakipato chako...jitahidi kusimama mwenyewe.
Epuka mwanamme atakaye kuwa anakupa zawadi nyiiingi mwanzoni...huyo atakuwa anataka tu haja ya mwili wake; pia epuka mwanamme wa club kila siku...
kuna wanaume wengi ila husband ni wachache....karibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom