Nashindwa kuwaamini wanaume

........Daah! Wanawake wa siku hizi mmmh!!, kila siku kila mwanamke anakuja na thread mpya yenye wimbo huo huo wa kutowaamini wanaume utadhani wanaume tumeteremshwa kutoka Mbinguni kumbe wanasahau kwamba sisi pia tunaishi katika mazingira haya haya wanayoishi hao na hizo tabia wanazoziona mbaya hutokana na wanawake husika.

Nakushauri uiaaie na utafakari enedo yakokata mapenzi na mahusiano, manamke una nafasi kubwa sana ya kyafanya mahsio yako yawe mazuri au mabaya kama inavyotokea kwako dada angu.

Mara tatu zote umeumizwa wewe, umejifunza kitu gani kwa upande wako hadi wanaamua kukufanya uwe "Punching bag" la vibuti?
 

duuuh!
 
Watatu bado sanaaa ungza idadi atapatikan tu
 



Si tatizo per say....ni suala tu la wanaume kutowaamini wanawake kwani wanawake wengi hapa Bongo ni machangu yaani kila mmoja anataka kuwa changudoa wa bongo muvi. Wakiona wenzao wanauza sura kwenye muvi zao uchwara basi wao wanafikiria maisha ndivyo yako vile, matokeo yake unakuta demu anabaki kuvuliwa chupi na kila jamaa kwa ahadi ya bajaj au baiskeli ya kutembelea mjini ili aonekane apate mabasha wengi zaidi.
 
pole sister ila kunakitu unakikosea ndo maana unapata mtihani jichunguze na hao wanaume huwa unawapata mazingira gani? kwenye masoko, mikutano ya kidini, disco, vilabu vya pombe, we chunguza utagundua tatizo lipowapi
 

Woga utaisha siku ukitoa huo mkono wako wa kushoto hapo ulipo kwenye avatar yako.
 

jaribu kijitathmini uone nini kasoro kwako katika aina ya relation inayoitaka..
usije ukawa unachanganya uchumba kwenye uboyfriend, au ndoa kwenye uchumba.
jifunze kwa waliofanikiwa katika hilo
 


Du hapo umemuwekea kila kitu umemaliza ukifuata hizo kanuni I'm sure tutasikia unaomba michango U.S. Send off
Nimekupenda bure we mdada
 
Just be good and be in good places. Wapo wengi tu.
Yani wewe uwe unafaa kwanza ndio utafute anaefaa.


True talk, hats mwanamme awekapinda vipi ukiwa na hizo character unamkamata as simple as that
 

Pole sana dada unachosema ni kweli kabisa tatizo ni kwamba hujampata mwanaume mwenye mapenzi ya dhati isipokuwa umekutana na wanaume wenye tamaa tu ya mapenzi ktk hao watatu. Nakushauri uwe makini, mwangalifu ktk kufanya maamuzi vinginevyo utakutana na wengi ambao watajifanya kukupenda kumbe ni matapeli wa mapenzi.
 
Kwenye mambo ya mapenzi ni very complicated situation, sometimes its better to stay alone for a little while learning from others how they Play it.
 
True talk, hats mwanamme awekapinda vipi ukiwa na hizo character unamkamata as simple as that

jidanganye, wanaume sisi tupo kiajabu-ajabu sana, omba umpate yule anayekupenda kweli otherwise we ni kilio tu
 
feity mama shida kubwa ni wewe kuamini kuwa kuna wanaume wenye mapenzi ya kweli na wewe kusahau kuwa unatakiwa kuwa na mapenzi ya kweli kwao...! Binafsi nijuavyo wanawake wengi muwabinfsi nyie kazi kudeka tuu na kungoja kupetiwapetiwa hii ndiyo sababu kubwa nyie wanawake mumekuwa mkilalamika na kuamini haujakutana na mwanaume mwenye mapenzi ya kweli...! Siyo siri mimi binafsi nimetoka kwenye relationship muda nimekutana na msichana mmoja ni mbinafsi sana.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye mambo ya mapenzi ni very complicated situation, sometimes its better to stay alone for a little while learning from others how they Play it.

nimefunga huo ukrasa .......wa wapenz...... baaassss inatosha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…