Nashindwa kumsahau

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,159
Nilikuwa na mpenzi wangu na nilimpenda sana,kutokana na tabia yake ya kutokuwa mwaminifu nikaona bora tuachane.Sasa leo nimebahatika kuingia kwenye profile yake fb na nimekuta keshaanza kuwatöngoza wanawake wengine kwenye wall yake.Na mimi nashindwa kumsahau nifanyeje?
 
Nawewe jipendekeze kwake ili akutongoze tena urudiane nae. Ili muanze upya.
 
Hali hiyo ni ya kawaida sana. Pale tunapowapenda wengine kwa dhati, lakini kutokana na tabia na mienendo yao kuwa tofauti na matarajio yetu ikasababisha uhusiani huo kufa, ni vigumu sana kuwatoa akilini mwetu................ kinachotakiwa sio kupingana na hali hiyo, bali ni kukubaliana nayo kwamba, yule ni binadamu kama alivyo binadamu mwingine ambaye ulimpenda, lakini kwa sasa humuhitaji tena kwa sababu hakufai kutokana na tabia zake............................ Weka uzingativu zaidi kwenye yale uyafanyayo kwa sasa kwani hayo ndiyo muhimi kwako.
 
Ikiwezekana mfute kabisa kwenye file yako usiwe unamuona na wewe tafuta Mtu mwengine muaminifu huyo atakuletea maradhi kuwa muangalifu na wanaume wasio waaaminifu.
 
Nilikuwa na mpenzi wangu na nilimpenda sana,kutokana na tabia yake ya kutokuwa mwaminifu nikaona bora tuachane.Sasa leo nimebahatika kuingia kwenye profile yake fb na nimekuta keshaanza kuwatöngoza wanawake wengine kwenye wall yake.Na mimi nashindwa kumsahau nifanyeje?

Wewe bado hujapata mwingine?
 
Bubu we ni mtu wa music videos tu!

Nadhani enzi zile ulikuwa alwatan wa VHS tapes za YO! MTV Raps.....lol
 
Pole sana,ni kawaida. Hata mtu akifariki inachukua muda kumsahau,wakati mwingine unakaa chini na kulia,ama kujisikia hovyo. Baada ya muda mrefu itaisha. Kaa mbali nae,zuia vidole vyako kumsaka habari zake. Kwa kipindi hiki ungemuondoa kwenye friends wako,then block him. Hutaweza kuona hata wall yake. Usiende mahali mlipokua mnaenda pamoja hadi moyo wako upone,jiongezee wigo wa marafiki wapya pia. Kusaka bf kwa nguvu ili umsahau itakuingiza kwenye shida ile ile. Take ur time,pona moyo wako then jipange upya
 
Bubu we ni mtu wa music video tu!

Nadhani enzi zile ulikuwa alwatan wa VHS tapes za YO! MTV Raps.....lol

Hahahahahah lol! NN...Please remember that music is the heart of our soul

Last edited by a moderator:
Hali hiyo ni ya kawaida sana. Pale tunapowapenda wengine kwa dhati, lakini kutokana na tabia na mienendo yao kuwa tofauti na matarajio yetu ikasababisha uhusiani huo kufa, ni vigumu sana kuwatoa akilini mwetu................ kinachotakiwa sio kupingana na hali hiyo, bali ni kukubaliana nayo kwamba, yule ni binadamu kama alivyo binadamu mwingine ambaye ulimpenda, lakini kwa sasa humuhitaji tena kwa sababu hakufai kutokana na tabia zake............................ Weka uzingativu zaidi kwenye yale uyafanyayo kwa sasa kwani hayo ndiyo muhimi kwako.

ahsante kwa ushauri mzuri
 
Pole sana,ni kawaida. Hata mtu akifariki inachukua muda kumsahau,wakati mwingine unakaa chini na kulia,ama kujisikia hovyo. Baada ya muda mrefu itaisha. Kaa mbali nae,zuia vidole vyako kumsaka habari zake. Kwa kipindi hiki ungemuondoa kwenye friends wako,then block him. Hutaweza kuona hata wall yake. Usiende mahali mlipokua mnaenda pamoja hadi moyo wako upone,jiongezee wigo wa marafiki wapya pia. Kusaka bf kwa nguvu ili umsahau itakuingiza kwenye shida ile ile. Take ur time,pona moyo wako then jipange upya

thanx dear,i just hope nitamsahau mapema.
 
Back
Top Bottom