Nashindwa kumsahau

mhh tabia yake imenishinda

Kama tabia yake imekushinda basi tumia hicho kama kigezo cha kutomtilia maanani. Ila nakupa pole najua ilivyo ngumu kumsahau mtu uliyempenda kwa dhati. As for me, years have passed and I'm still struggling to forget him. Ha ha haaaaa, kaaazi kweli kweli!
 
Mpendwa inaelekea mapenzi yanakutesa. Usikipe nafasi kitu kinachokutesa na kukusosesha raha.

mapenzi yananitesa sana hata sijui nimemkosea nini Mungu jamani,saa nyingine naona labda sifai kwasababu na dhambi nyingi sana mbele yake na híi ndio adhabu yangu.
 
Kama tabia yake imekushinda basi tumia hicho kama kigezo cha kutomtilia maanani. Ila nakupa pole najua ilivyo ngumu kumsahau mtu uliyempenda kwa dhati. As for me, years have passed and I'm still struggling to forget him. Ha ha haaaaa, kaaazi kweli kweli!

mwaj we acha tu, mimi saa nyingine huwa hata natamani nife maumivu ya moyo dear hayaponi haraka
 
Mtu kutokuwa muaminifu kwa karne hii ni hatari sn kwan unaweza kufa kwa msongo uliochanganyka na maradhi.
mpotezee tu ,manake hana dalili yakubadirika ndo kwanza ameanza tongoza wengne(sio mwengne)hiyo ni hatari mrembo.
haya mambo yanauma sn ila ndo tujitahd kujipa mapenz wenyewe ili tuepuke maumivu,
 
ahsante ndugu yangu.
 
Pole sana. I've been there so nakuelewa. Hapa na mimi ndo najitahidi kumsahau alienitenda.
 
Back
Top Bottom