umeamkaje?
Sijambo mwanangu,
ila bibi yako anaumwa huko kwetu kijijini
hivyo MUNGU akipenda naamkia huko kesho.
Tulia mwanaume wa kwako atakuja,
MUNGU amempangia kila mtu riziki yake.
pole sweety usijali wala kumwazia saana. kama mungu kapanga utapata wako wa ukweli huyo achana nae.
Sijambo mwanangu,
ila bibi yako anaumwa huko kwetu kijijini
hivyo MUNGU akipenda naamkia huko kesho.
Tulia mwanaume wa kwako atakuja,
MUNGU amempangia kila mtu riziki yake.
where is Excellent, dah! huu uzi unampita?
How are you dear Kabakabana.
Just try to relax and breathe in fresh air, jitahidi kujipenda kwanza wewe kabla hujampenda mwenzio
jipe percentage ya upendo katika nafsi yako, na ujione wewe ni wa muhimu zaidi katika maisha yako
hapo hutapata taabu sana kumsahau mtu ambaye BTW, he is just a second self kwako.
Nakuassure It happened to me once, nikashauriwa the same and it worked, am now happy hata nkimuona na 10 different girls
sishtuki, kwani I LOVE MYSELF.
Pole Mamndenyi, safiri na ufike salama, inshaallah..................Usisahau kumpa mama pole na salaam zangu.......
pole atapona, uniombee na mimi.
naomba kwa jina la MUNGU upate mume mzuri
ambaye atakupenda kwa pendo la dhati.
Barikiwa sana binti yangu.
Nilikuwa na mpenzi wangu na nilimpenda sana,kutokana na tabia yake ya kutokuwa mwaminifu nikaona bora tuachane.Sasa leo nimebahatika kuingia kwenye profile yake fb na nimekuta keshaanza kuwatöngoza wanawake wengine kwenye wall yake.Na mimi nashindwa kumsahau nifanyeje?
dawa ndogo ni PM uishi maisha ya furaha na ujutie kwanini hukunijua mapema.....
umemshauri vyema sana mtambuzi
zingatia maelezo ya mtambuzi
Nilikuwa na mpenzi wangu na nilimpenda sana,kutokana na tabia yake ya kutokuwa mwaminifu nikaona bora tuachane.Sasa leo nimebahatika kuingia kwenye profile yake fb na nimekuta keshaanza kuwatöngoza wanawake wengine kwenye wall yake.Na mimi nashindwa kumsahau nifanyeje?
wewe endelea kujituliza na hako ka mkono kako hivyo hivyo.
nipende mimi statongozea wanawake wengine kwenye wall yangu ya fb. napromise. mi siku zote nakuona nikajua unamtu kumbe upo single!. nina bahati kweli.wewe ni riziki yangu. mia
hah hah hah... Ndo atamsahau akiendelea na mkono wake ?