Nash MC, kwanini asipewe tuzo kwa darasa hili?

Mzazi ongea na mwanao.

Live long maalim Nash. Endelea kuandika.

-Kaveli-
 
Album yake ya kwanza kabisa Mzimu wa Shaaban Robert ilipotoka, niliinyaka fasta.

Itafute pia album 'Hazina Sura ya Kwanza' upate ladha na dar'sa.

Pia ushasikiliza album 'Mchochezi'? Ni faya mkuu.

-Kaveli-
 
Mashairi mazuri, uimbaji mzuri pia. Hakika anaitendea haki kazi yake

Ameshapakua Album mpya ya kuitwa 'MHADHIRI'... ni faya mbaya mkuu!

Wakati unasikiiza hii album, hautoruka ukurasa.

-Kaveli-
 
Sio poa mkuu. Tumchangie mwamba kwa kununua kazi zake.

Nunua na album yake mpya ya kuitwa 'MHADHIRI' upate ladha adhimu kutoka kwa Maalim wa mitihani.

-Kaveli-
Nichekie contacts zake niruke nae maalim mwenye ruhani la mitihani
 
Back
Top Bottom