Nash MC, kwanini asipewe tuzo kwa darasa hili?

inategemeana watazamaji wanaupeo gani

unaweza ukaweka mategemeo kua kichwa cha jogoo kitabeba matofali?

kama ni hawa watoto wanaoimbiwa "yesa yesa yesa yeeh" wawe ndio ma judge basi nash hatosikilizwa
Knahitaji moyo kuwaelimisha makuadi na mawakala wa kufubaza akili
 
Naijua hiphop kuliko hao watoto washamba kina nash sijui niki mbishi.

Najua one and two.

Najua sixteen bars.

Najua freestyle.

Wakati nafanya hayo hao watoto walikuwa wananyonya nafikiri.
Unaweza ukaijua imani fulani sabna tu lakini usiwe mfuasi wake. Halaf kumbuka pia umri sio kigezo cha kukifahamu kitu kiundani. Itoshe kusema kwamba wewe sio mfuasi wala muumini au mkereketwa wa hiphop
 
Nimemsikiliza pia humo akizungumzia zao la kusini, pia nimefurahi sana kitu inaitwa ADUI..

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app

Nash kwenye nyimbo zake nyingi huwa anapasemea sana kwao kijijini Chigugu - Mtwara.

Zao la korosho limeumiza wanakusini wengi sana.

-Kaveli-
 
Upo sahihi Mkuu Mgeni wa Jiji . Possibly. Hip Hop shabaha yake kuu ni kuleta mageuzi na haki katika jamii.

System inafanya kila liwezekanalo mziki huu usipenetrate mindset za wananchi.

Mfano, ushaisikia track ya Maalim Nash iitwayo 'Beti' ? Kama bado hujaisikia, hii hapa isikilize kwa makini:


Wimbo kama huu kamwe hutousikia radioni wala kwenye TV station, bali utausikiliza kwenye social media na mtaani tu like kwenye masaloon, magetoni, n.k.

2pac Shakur aliwahi kusema: "I am not saying I am gonna change the world, but I guarantee that I will spark the brain that will change the world."

Systems (karibia zote duniani) haziko tayari kuruhusu mziki wa hip hop uzalishe 'brains' za kuikosoa serikali katika kuhoji maovu na kusemea haki na usawa kwenye jamii.

Cc: Mkuu mrangi .

-Kaveli-
Same to reggae música
 
Back
Top Bottom