Nash MC, kwanini asipewe tuzo kwa darasa hili?

Nyimbo za siku hizi huwezi kusikiliza wala kutazama mbele ya mama au wakwe. Nyimbo zimejaa matusi na maudhui ya kingono tu. Na ndizo zinapewa airtime ya kutosha!

-Kaveli-

Inama nipachike rungu!
 
Wasanii wa hip-hop waache kuchukia wasanii wenye mafanikio mana mashairi yao mengi wanadis tu wasanii wa kuimba hamna kazi rahisi kila mtu anaumia wajifunze kuheshimu wenzao wanachofanya
Kuna kitu kinaitwa misingi ya hip hop humo luna elements nyingi sana zinazomtambulisha mtu kua huyu ni mwana hip hop

Dis katika hip hop sio big issue ni moja ya utamaduni wake, na wasanii wa hip hop sio tu kwamba wanawa diss wabanapua hata wao kwa wao mbona wana diss ana?
 
Wewe ungekuwa na Tv yako ungeruhusu kurushwa video iliyoshutiwa kwa techno?
inategemeana na kipindi nacho run siku hiyo kinahusu nini

kama kipindi kinahusu mziki sioni tatizo kwasababu kuna mamilion ya nyimbo ambazo ni nzuri na hazijafanyiwa shouting hata kwa device ya tecno

ila kama kipindi cha siku hiyo kina husu mashindano ya video bora yenye quality nzuri yenye kuonesha kwa kiwango cha HD namna wanawake wanavyokaa uchi basi uko sahihi kwa hoja hiyo

nash mc anasema

mtangazaji unayebagua kazi zangu we ni elton john, kama hujanisikia narudia tena watu wanapiga we ni elton horn....

naskia wasanii kibao mpango wao shwari, basi karibuni kwa ustadh nash na mistari.../

wasanii wenu cameroon obama, nash mc dodoki la maana mpaka masharobaro wanalia ooh mama..../
 
Naash tangu aanze muziki alikua anatoa kanda mseto tu nahis mwaka juzi Au jana 0ndo ametoa albamu. Inangoma 20. Naipenda barua toka bangui
 
Ni moja ya sababu, imagine unacheza playlist umepiga wimbo wa Kendrick Lamar, ukaja ukacheza wa Casper then Darasa alafu unapandishia wa Maalim Nash...wewe uoni utakimbiza watazamaji?
inategemeana watazamaji wanaupeo gani

unaweza ukaweka mategemeo kua kichwa cha jogoo kitabeba matofali?

kama ni hawa watoto wanaoimbiwa "yesa yesa yesa yeeh" wawe ndio ma judge basi nash hatosikilizwa
 
inategemeana watazamaji wanaupeo gani

unaweza ukaweka mategemeo kua kichwa cha jogoo kitabeba matofali?

kama ni hawa watoto wanaoimbiwa "yesa yesa yesa yeeh" wawe ndio ma judge basi nash hatosikilizwa

Nyie akili kubwa si mnasemaga hamsikilizi redio, media house ni biashara hivyo wengi wape!
 
Hivi bongo mziki wa hiphop inafeli wapi
Mbn hawa wakata mauno wanatawala

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
ni kwasababu great thinkers bongo wako out numbered

watu hawapendi kushirikisha ubongo na ndio maana utawasikia wanasema " hizo ngumu zenu hazinogi jaribuni kulegeza"

hivi nani mwenye akili zake timamu ukamkuta anasikiliza nyimbo inaimbwa "anachukua anaweka waah"
 
ni kwasababu great thinkers bongo wako out numbered

watu hawapendi kushirikisha ubongo na ndio maana utawasikia wanasema " hizo ngumu zenu hazinogi jaribuni kulegeza"

hivi nani mwenye akili zake timamu ukamkuta anasikiliza nyimbo inaimbwa "anachukua anaweka waah"

Au mtu mwenye akili timamu umkute anaimba 'Nampa papa' by Gigi Money.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom