Hivi bongo mziki wa hiphop inafeli wapi
Mbn hawa wakata mauno wanatawala
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Nofanyie wepesi niipate hii ngoma mkuu KaveliFlow yake inaburudisha! Maudhui yake yanafundisha!
Mkuu, umeshaisikiliza 'Beti' ?
-Kaveli-
Nichekie contacts zake niruke nae maalim mwenye ruhani la mitihaniSio poa mkuu. Tumchangie mwamba kwa kununua kazi zake.
Nunua na album yake mpya ya kuitwa 'MHADHIRI' upate ladha adhimu kutoka kwa Maalim wa mitihani.
-Kaveli-