Nasema na narudia tena hapa Tanzania timu yenye uwezo, kiwango na ubora wa kuikabili Mamelodi Sundowns bila ushirikina ni Azam FC tu

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
438
1,752
Yaani kwa namna unavosikia mbwembwe na majigambo kuwa Mamelodi atakufa cjui Mudathiri ndio siku yake hiyo wala sio uwezo wa kocha, kocha kesho ana mchango wa asilimia 30 tu, 70% ameachiwa mganga.

Ni azam pekee ndio yenye wachezaji wenye quality, kiwango na uwezo wa kuikabili timu yoyote hapa barani afrika, wana wachezaji wazuri kuliko hata wale wa Mamelodi, wao wamewekeza sana kwenye ubora wa wachezaji, sio sisi tumewekeza mno kwenye mganga.

Waaminisheni watanzania kuwa kesho kushinda lazima halafu msishinde mtajua kama hamjui.
 
Simba na Yanga = Tanzania Football
 
tumekusikia
 
Hawa lambalamba ni wa kawaida tu.
 
Sasa hao Azam nani kawakataza kuwakabili hao mamelodi? Kama azam ndo wenye uwezo peke yao, nani kawapendelea Yanga na kwanini?
 
Yaani kwa namna unavosikia mbwembwe na majigambo kuwa Mamelodi atakufa cjui Mudathiri ndio siku yake hiyo wala sio uwezo wa kocha, kocha kesho ana mchango wa asilimia 30 tu, 70% ameachiwa mganga.

Ni azam pekee ndio yenye wachezaji wenye quality, kiwango na uwezo wa kuikabili timu yoyote hapa barani afrika, wana wachezaji wazuri kuliko hata wale wa Mamelodi, wao wamewekeza sana kwenye ubora wa wachezaji, sio sisi tumewekeza mno kwenye mganga.

Waaminisheni watanzania kuwa kesho kushinda lazima halafu msishinde mtajua kama hamjui.
Malaria yako imefika utosini tayari
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Back
Top Bottom